Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

Ni ukweli usiopingika kwamba Mchango wa Diamond kwenye uenezi chama ni sawa kabisa na ule wa Kapteni Komba..

Uwepo wake kwenye mikutano ya chama una impact kubwa sana kwa hiyo Chama inabidi kimtunuku walau jimbo..

Diamond kwao Tandale.Ni wakati wa kumweka mzawa wa Tandale jimbo la ubungo.Diamond akiwekwa vijana wa ubungo wa mitaani watakuwa nyuma yake.Ni rahisi tu kumtoa Mnyika chasaka wa kuja.Na sababu Mnyika hupenda vurugu kwa kutumia vijana wa vyuo,

Diamond akiingia atakuwa na vijana wa mitaani kuanzia panya road n.k yaani mnyika akileta za kuleta lazima vijana wa mitaani ubungo wamvurumishe kutoka jijini.CCM imweke Diamond jimbo la ubungo.Ili vijana kwa vijana wamenyane jimbo la ubungo.
 
Mr. President

Kaka unapoteza NGUVU zako buree upate ban bure bila sababu za msingi.Kaka KICHAA akichukua nguo zako CHUTAMA utakuja saidiwa na mwenye akili.Huyu ni sawa na KICHAAAAA kabeba nguo zako mtoni unakimbizana naye,binadamu hawataona tofauti zenu.

Wameshanogewa na WIZI ndiyo maana safu wanayoitaka ni ile isiyouliza kwanini na wala isiyojali kwanini? Huyu Diomond wanayematala si PUNDA wao pia?Kaka yangu waonee huruma hawa wadogo zako wamefungwa na UMIMI zaidi na wazazi wao ni MAFISADI sasa unataka watafute viongozi wanaofaa ili 'MA-DEAL"yao yaishie baharini.

Pole lakini najua kwa kiasi gani amekukwaza...............
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli atashinda maana taasisi ya urais imekuwa ya kisanii hasa awamu inayoisha!

Siwajua tulimchagua JK sababu ya UHANDSOME,hatukuangalia kichwani.............
 
Hivi SUgu MBUNGE wa mbeya mjini uwezo wake alipimwaje?

Wee kilaza sugu mpiganaji tangia alipokuwa msanii elewa ni msani wa kwanza Ktk mziki huu kupata mafanikio sugu ni mwanaharakati kitambo tu kilaza wee, sugu ashawahi kuanda African hip hop summit tanzania na wasani walitoka nchi tofauti za Africa.

Usitake mfananisha sugu na huyo diamond hata siku moja kilaza weee
 
East African Eagle

Halafu mkitoka hapa hamkawii kusema CHADEMA WAKABILA,hebu irudie hii hoja yako ilivyokaa,wewe ni MBAGUZI,kuna mahali kwenye KATIBA ya NCHI imeandikwa WATANZANIA toka KILIMANJARO hawastahili kugombea?

CCM msiwe wabaguzi hicho mnachokifanya ndicho klilicjho leta maafa RWANDA na BURUNDI,ubaguzi,kila mahali ubaguzi............CCM hebu tuachieni TAIFA letu nendeni kwa AMANI...............Kama siyo UDINI basi UKABILA na sasa mmeingia mpaka kwenye ITIKADI za vyama,mnatia kichefuchefu.
 
Last edited by a moderator:
Tetty

Dawa ya moto ni moto.CHADEMA mmejaza viongozi wa juu wa chama chenu watu wa kilimanjaro.Kwa nini na nyie tusiwashughulikie ukabila wenu mkikanyaga maeneo yetu?
 
Last edited by a moderator:
We mleta mada are you serious??, au unatania watu!!!. Yani mtu akijua tu kukatika viuno mbele za watu basi anafaa kuisimamia serikali!!. Stop nonsense.
 
Nadhan kweli vjana maadili yamewaishia had mnapendekeza kahaba aliyefia kwny ngono kisa mziki agombee jimbo tena UBUNGO mnawatusi wanajimbo hilo kwan alikosa kwao na hlo domo ndo aje kugombea DAR aende kwao akawaongoze weu na wachawi wenzake huko!

And lets thnk be4 poxtn' something online as it makes the poster look unwise and more than insane plus unsound employ your knowledge to judge on things guyz!EDIUS DEUS UDSM (LAW)
 
Dawa ya moto ni moto.CHADEMA mmejaza viongozi wa juu wa chama chenu watu wa kilimanjaro.Kwa nini na nyie tusiwashughulikie ukabila wenu mkikanyaga maeneo yetu?

Huna eneo mdogo wangu.Eneo lako ni lile tu utakapo aga dunia na kupewa kasehemu kadogo tu ka-ardhi kwa ajili ya kujisitiri.Huyo Diomond pia walasiyo MKWERE au MZARAMO huyo ni MUHA wa kigoma.

Nakuonya tu kuna siku utajikuta uko peke yako naunamtafuta hata huyo unayemuita KYASAKAwa kukusaidia hutampata.ACHA UBAGUZI HAULIPI HATA KIDOGO.TANZANIA nchi yetu na TAIFA letu sote,halina ITIKADI,KABILA wala DINI.Kuwa tu mpole hata kama mzazi wako ni FISADI mwambie kila lenye mwanzo lina mwisho....Pole sana sana..............Ni chungu kumeza lakini ni dawa ya kukuponyesha......................
 
Mxxxxxxxx.×5.mtoa mada acha ujinga.labda agombee nafac ya kukusaidia nafac ya baba kwenye familia yako.haijalishi unayo au unategemea kuwa nayo.ubunge c makalio bwana kwamba kilamtu anapewa
 
Kawaambie CHADEMA huu ujumbe

Kwa sababu huu UBAGUZI umeanzia kwenu ni vyema uupeleke LUMUBA kwa information kwamba tumechoka na UBAGUZI wenu,na klwamba tunaotokea KILIMANJARO tunahaki ya kuwa viongozi kuishi popote Tanzania.

Tatizo lenu kubwa ni kutugawa watanzania mnadhani mtaendelea kufanikiwa kwa hilo,mwambie Nape Nnauye,kwa sasa hamuwezi tena kutugawa kama peremende.
 
Vijana kina nani uliokaa nao wakalalamika???

Mmekaa kikao cha chama ambacho kipo against Sugu, ww unadai vijana wa Mbeya wanalalamika, that's absolutely not:sly:

Labda aende tena mbeya akaulize sugu n nana pale.
 
Sasa nimekubali, Kweli JF ni jukwaa la kujielezea na kusema utakalo bila ya woga wowote., hii ni hatari.
 
Itabidi wapiga kura wanye gongo na viroba siku hiyo maana akili ya kawaida hapo haihitajiki
Mbona Sugu kashinda!! Wakati diamond yuko juu kuliko Sugu!! Naunga mkono hoja 100%.
 
Back
Top Bottom