East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
- Thread starter
- #21
Ubungo ni jimbo lisilo na vijana wenye fikra mfu kama zako,Ubungo ni moja ya jimbo lenye wingi wa vijana wasomi nchini!mtafutie jimbo lingine akagombee
Acha hizo jimbo la ubungo lingekuwa limejaa wasomi lingemchagua Mnyika kuwa mbunge ambaye hajui hata digrii ni kitu gani?