kanyero
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 202
- 21
Ni mawazo ya Kijinga kama kila mtu anayefanya wezapata pesa kwa kuchochea ngono etu leo aje awe mbunge. Kipaji chake yawezekana ni Mipasho ya Mziki na wala awezi kuingia kwenye Siasa akaperform.
Asubirie wabunge wa Kuteuliwa CCM ili awawakilishe vijana kunengua Viuno bungeni.
Na tena akijidanganya Kugombea hatafail miserably.
Jamaa huwa anavaa sketi kwa hiyo akagombee viti maalum