Diamond, acha wizi wa nyimbo

Ndio walichobakiza sasa Hivi,uwezo umefika mwisho watafanyaje Sasa?

Mziki wao unasikilizwa na watu wasiojielewa hapo hawaoni tatizo.
 
Uzuri wa kipindi hiki wimbo ukitoka unasikiliza then unabaki na comment zako ndani ya moyo wako...
Hizi timu mbili hawataki kuambiwa ukweli, mashabiki wao wako too royal kiasi kwamba hawasikii lingine
Comment bora kabisa
 
Subiri mapovu ya team yake. Hawapendi kuambiwa ukweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu utakuja na comment kama hii
Halafu ukute dem mwenyewe kibungo hatare halafu unajishebedua tu
 

Uyu jamaa anastress sn uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho...wala kiba hana sbb za kupoteza muda wa kumuweka uchi coz anajivua nguo mwnyw
 
Dangote baba lao
Diamond baba lao
Chibu baba lao

[emoji23] Huyu dogo anajua basi tu mnaoteseka vimbeni mpasuke tu kama jamaa anawakera
 
mond anajua kuwatesa haters ataleta k2 cha utata ili azungumziwe yeye2 nakutengeneza attention kirahisi bila wahusika kujua

tuacheni roho mbaya jamaa anajua hadi anakeraaa....
 
Kiba yuko consistency kwny kazi zake km hana ngoma ya maana kwa fans zake anachili..lkn uyu copy&paster yy anafosi 2 kutoa ngoma ht km hana aidia.... mwisho wa cku anatapatapa kuiba aidia za wa2 ila sio kosa lake ttzo mashabiki zake wengi ni vilaza na hawajui mziki wao ni "oyaoyafans" mfano mzuri n ww!
Mzee baba kwani kiba na diamond Nani mwenye stress sasa?
 
Kuna siku tabia hii itamkea puani.
Hiyo ngoma haja copy amefanya sampling s2kizzy amethibitisha hivyo na remix yake naira Marley atakuwepo diamond ni msanii mkubwa na anajua masuala ya copyright na ndomaana naira yeyemwenyewe hajalalamika zaidi ya team kiba Kama mtoa mada.
 
We ndo naona Hauna akili Wala ile nyimbo hajaiba Kama we unavyosema ila amefanya sampling Kama alikiba alivyofanya kwenye kimasomaso.Alafu mnaoteseka ni nyinyi fans wa kiba ndio mlioanzisha Huu Uzi na si fans wa diamond.
 
Wataweza kweli....?
Kushindana nasi...?
Hata wakiungana...?
Matusi kututukana...?
Aaaaaaaaaaaaaah WAAAAPI.
 
Issue sio kukurupuka. Issue ni idea
 
Mbona ukisikiliza kuanzia mwanzo ni kama wimbo mmoja tu. Sasa kama alikuta beat ikawaje maudhui na miondoko ikawa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…