MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Hakuzungumzia Uraia wa Katibu wake Mkuu? Mbona ni Raia wa Somalia? Kwa kweli CCM Ilipo fikia ni Ukingoni kabisa, kama Kikao cha Kuangalia Utendaji wa kazi kinageukam kuwa kikao cha Kuzungumzia Siasa basi kwisha kazi,
Aliposema kuna watu wameshika uongozi ndan ya chama alimanisha katibu mkuu wake yaani Kinana akakwepa akajifanya ni wilaya ili wasimuulize