Katibu Mkuu wa Rais Mzee Luhanjo ndiyo alimfukuza Diallo Uwaziri, halafu akadanganya umma eti na yeye amestaafu alijiuzulu kama Lowassa
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco....Tatizo la huyu Lowassa, ni kupata URAIS, asipoupata sijui kama atabaki na afya ya kuridhisha. Anatuhumu watu tusiounga mkono jitihada zake tu, je wanaogombea watakuwa na hali gani mbele yake? Ushauri wa bure kwa wapambe wa Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia zisizo halali ni haki ya kila mtu kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu Ccm.
Diallo huwa hawezi kufikiri kwa kina yeye ni mwanachama wa ccm halafu ni kiongozi hakutakiwa kutoa kashfa kama hz ambazo hata hajasikia zikisemwa na el.cjui anafanya haya kwa faida ya kukiunganisha chama au kusambaratisha,naona ndo type akina paul makonda na wenzake samuel malchela
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco.
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco.
Magufuli achukue form kwa kweli,kanda ya ziwa tutamuunga mkono
Mi CCM yote ovyo tu. Hakuna msafi ccm ya leoDialo ni janga la nchi
Ni kweli tupu; LOW-HASA yeye alikuwa upande wa DAWASA Dr Dialo katukumbushq jambo la msingi sana.