malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Pamoja na mshtuko mkubwa wa dunia kuhusu unyama wa utekwaji kwa watoto wa shule huko Nigeria na habari kuhusu watoto hao kuwa kitendawili kikubwa mpaka hivi sasa. Lakini hivi karibuni taratibu mambo yameanza kujitokeza na habari tofauti zimedhihilika baada ya mtoto mmoja kati ya ziadi ya 30 waliofanikiwa kutoroka ktoa taarifa za jinsi gani walikuwa wakiishi huko na Boko haram.
Mtoto huyu amabye hakuwa na nguvu na akiwa amechoka sana akihojiwa na mmoja wa mshahuri nasaha aliyekuwa akiwapa moyo watoto waliotoroka Boko haram alisema walipokuwa wametekwa huko polini aliweza kubakwa na wanaume 15 tofauti tofauti kila siku kwa siku 15.
Mtoto huyo aliyekutwa katika hali mbaya huku akiongea kwa taabu sana, alikiri kwamba alikuwa akibakwa mara 15 kwa siku na wanaume 15 tofautitofauti kila siku kwa siku zote alizokuwa amekaa huko polini.
Pamoja na mshangao wa taarifa hizo watu hawakustuka sana kwa sababu walikuwa wakijua Boko haram ni makatili sana na ni watu wasio na huruma licha ya taarifa tofautitofauti kutoka kwao kwamba watoto hao wako kwenye hali nzuri ya kiafya na wako salama.
Boko haram ni kundi la kigaidi liloanzishwa miaka ya 2009 likifungamana kwa karibu na Al-Qaeda na mpaka sasa wamesababisha vifo vya zaidi ya watu 2000. Kwa mwaka huu tu Boko Haram wameteka wanawake zaidi ya 400 na kwa sasa zaidi ya wanawake 18o bado hawajulikani walipo toka walipo tekwa katika shule yao huko Chibok , Borno usiku wa April14.
Majadiliano yameshindwa kutokana na Boko Haram kutaka kubadilishana na wafungwa wa kigaidi wanaoshikiliwa na serikali ya Nigeria.
Serikari ya Nigeria na baadhi ya nchi za ulaya zinaendesha juhudi za pamoja kuweza kuwasaka na kuwapata watoto hao zaidi ya 180 ambao bado hawajapatikana.
Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau alisikika akitangaza kwamba hata kama watoto hao ni Wakrito wamesilimishwa na sasa ni Waislamu.
Hofu zimetanda kwamba huenda Boko haram wakawa wanawatumikisha watoto hao kingono kama wake zao katika harakati zao za kigaidi sehemu mbalimbali.
Soma zaidi source: http://jicheki.com