Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Source umesema ni Nini? Hivi na wewe unaamini Kuwa wale watoto wanaweza kuwatoroka Boko haram?
Kama ni uongo lakini si wamewateka ,hivi fikiria angekuwa ni mtoto wako .hebu tafakari bila kujali dini yako ! huu ni ukatili mkubwa ! huyu ni MUNGU GANI ANAYERUHUSU WATU WAFANYE HAYA!
abakwe kwa siku 15 na wanaume 15 Kila siku?
Bado yupo hai kweli?
Hayo mapichapicha ya kizungu tumeyashtukia.
Mimi naweza kuamini hii kitu kwamba hakuna wanawake waliotekwa
Nilishasema tanzania kwa kuwa ni nchi ya amani magaidi wa vikundi vyote wapo hapa,Naamini hivyo sababu faiza anaongea na kuandika kiswahili fasaha na ni mfuasi wa chama ninyim na anaunga mkono magaidi siamini kwamba anachangia nyuzi humu jf wakati sio mtanzania.fuatilia uzi huu utagundua wapo na wengine wengi.Uongo mtupu.
Je boko haram wamewahi kutoa tamko la kupinga uvumi huo au mnawasemea? kama ni uvumi mbona hawajakanusha utekaji huo? au hiyo baptist press ni media ya boko haram?Hakuna binti aliyetekwa:
A video purporting to show many of the 200 Christian girls kidnapped by the extremist group Boko Haram is a clever ruse designed to mislead, according to a story released by Baptist Press.
Source: http://crossmap.christianpost.com/news/boko-haram-video-of-kidnapped-girls-labeled-a-fake-10403
Uongo mtupu.
Je boko haram wamewahi kutoa tamko la kupinga uvumi huo au mnawasemea? kama ni uvumi mbona hawajakanusha utekaji huo? au hiyo baptist press ni media ya boko haram?
Nilishasema tanzania kwa kuwa ni nchi ya amani magaidi wa vikundi vyote wapo hapa,Naamini hivyo sababu faiza anaongea na kuandika kiswahili fasaha na ni mfuasi wa chama ninyim na anaunga mkono magaidi siamini kwamba anachangia nyuzi humu jf wakati sio mtanzania.fuatilia uzi huu utagundua wapo na wengine wengi.
Vyombo husika vifuatilie naamini hatuko salama kivile.
jamani hao sio waislam mbona mnatupaka matope