Kwa ujinga wako unadhani mtu akialikwa kwenye dhifa kama ile anatafuta kwenda kula. Watu wanaoalikwa pale wanau uwezo wa kula vizuri kuliko kile wanachokikuta pale. Usifikiri ni watu wa aina yako ambao mkichangia sh.10000 kwenye sherehe unataka ule ambacho ni equivalent vinginevyo mnaanzisha vagi. Hovyo!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
juha kalulu tafuta pa kumwaga pumba zako!