Dharau mbaya

Dharau mbaya

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
562
Reaction score
850
Baadae ya kuniandama kwa kuandika bila matumizi ya alama za lugha
Ikiwa tupo wengi mnoo
Naomba niruhusiwe kuweka kavideo tafadhar
 
Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
hongera sana mwanachuo ila jifunze matumizi ya "h" haistahili kuwepo kwenye baadhi ya maneno.
 
Unasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??

Mwanachuo kuandika hujui??
Kasha sema anatoka gongo la mboto
naijatwittersavages-20190605-0001.jpeg
 
Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Mwanzo mwisho, hamna nukta wala mkato
 
Are you crazy?
Wtf is this?
You are puerile..
 
Dah! Masikini elimu ya Tanzania ndiyo bai bai!!
Tuna hali tete kiongozi wee acha tu, na hata kwa ndumba hatutoki. Sijui tunaelekea wapi kama taifa. Aibu tupu na hakuna anayejali hata kidogo. Halafu huyo dogo ambaye hata kiswahili kinamshinda utakuta hata kilugha cha kwao hajui. Mungu pekee aingilie kati hili janga.
 
Back
Top Bottom