Dharau mbaya

Dharau mbaya

Ahsante sana kwa kuquote uzi, lasivyo nisingeuona maana kashafuta na kuweka maneno machache
hahahaaa ndio maana kuna uzi member anaomba ukiedit uzi wako na walikokuquote pia pawe edited kwa mambo kama haya.
 
hahahaaa ndio maana kuna uzi member anaomba ukiedit uzi wako na walikokuquote pia pawe edited kwa mambo kama haya.
My point was, nimeandika Jiima instead of JAMII, baadaye nikagundua nimekosea. Nikafanya editing kurekebisha hilo kosa. Lakini muda huo kuna watu wali quote uzi huo wenye makosa. Basi nikifanya editing iende vile vile kwa walioni quote iwe edited pia! Is that Wrong? Is there anything fishy in that? Mwifwa
 
Siungi mkono hiyo mada., ilikuwa ni ya Retired kama sikosei
Mwifwa, kwani mtu akifanya editing ikaenda kote kuna kosa gani rafiki yangu. Kweli nilipendekeza hilo . Huyu kwa mfano, kweli original uzi it seems aliufanyia editing kubwa (ingawa na alichokiweka mbadala ni rubbish) mimi naona ni vema tu ukigundua kosa kufanya editing sio kosa na hiyo editing ikaenda kote. Labda kama kuna legal implications hapo inabidi isiende kote maana utaihitaji kwenye ushahidi! 😁 😁 😁 😁 😁
 
Mwifwa, kwani mtu akifanya editing ikaenda kote kuna kosa gani rafiki yangu. Kweli nilipendekeza hilo . Huyu kwa mfano, kweli original uzi it seems aliufanyia editing kubwa (ingawa na alichokiweka mbadala ni rubbish) mimi naona ni vema tu ukigundua kosa kufanya editing sio kosa na hiyo editing ikaenda kote. Labda kama kuna legal implications hapo inabidi isiende kote maana utaihitaji kwenye ushahidi!
Nimekuelewa mkuu, hoja yako iko vizuri.

Kuna wakati unakuta mada ishafutwa/ishafanyiwa editing na ukawa na shauku ya kujua kilichokuwemo ndani yake, ndio umuhimu wa quoted post kubaki bila mabadiliko unaonekana(kama kwenye hii mada).

Watu hufanya hivyo ili kuepuka aibu endapo ikionekana anakosolewa na watu wengi kuhusu mada yake.

Mfano: member mmoja hapa alileta mada akizungumzia ubovu wa uandishi wa kiswahili fasaha, hapo hapo yeye akawa amekosea pia. Watu walimjia juu kwa kumkosoa makosa yake na kuacha maudhui ya mada husika. Jamaa alijuta akatamani awe na uwezo wa kufuta uzi ili asiendelee kuaibika.

Faida tunayoipata hapa, ni kwamba tunakuwa makini katika kuwasilisha mambo ambayo hayana makosa kwani kabla ya kupost mtu atahariri kwanza ili kutoa makosa aliyoyaweka.(hiki kitu ndio huwa nakifanya mimi kwa asilimia kubwa sana)
 
Watu hufanya hivyo ili kuepuka aibu endapo ikionekana anakosolewa na watu wengi kuhusu mada yake.
Exactly! na ndio maana nililteta ombi hilo! Mfano leo nilitaka kuandika era nikaandika error! Lo! Nikashtuka , thank God hakuna aliyekuwa amerespond kwa ku quote.
 
Back
Top Bottom