O.PWakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Mkuu ndio nilicho fanya hapa maana naona wananiandama kwa kuandika wakati tupo wengi humu ndani nataka nitupie kavideo hapa nitaruhusiwa kweli au nitapata banKale mzigo kwanza ndo ulete story, ukishindwa kula ndo jamaa atakudharau maradufu
Pimbi mkubwa,unadhani kusoma chuo ni kama kuingia chooni!Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Ahsante sana kwa kuquote uzi, lasivyo nisingeuona maana kashafuta na kuweka maneno machachehongera sana mwanachuo ila jifunze matumizi ya "h" haistahili kuwepo kwenye baadhi ya maneno.
msomi huyo wa bongoland.Mwanzo mwisho, hamna nukta wala mkato![]()
Nenda katupie jukwaa letu pendwa la wakubwaMkuu ndio nilicho fanya hapa maana naona wananiandama kwa kuandika wakati tupo wengi humu ndani nataka nitupie kavideo hapa nitaruhusiwa kweli au nitapata ban
Dah umenikumbusha A.levo. haha.ZION😀😀
Zoom polytechnic collegeUnasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??
Mwanachuo kuandika hujui??
Hivi Mlimani University ipo wapi ?Zoom polytechnic college
Ipo mlimani city mule ndaniHivi Mlimani University ipo wapi ?
Kesho nina safari ya kuja huko kutokea Tandahimba. Nipande basi lipi niweze kufika chuoni ?Ipo mlimani city mule ndani
Panda gari la gerezani shukia chuoKesho nina safari ya kuja huko kutokea Tandahimba. Nipande basi lipi niweze kufika chuoni ?
Gereza lipi?Panda gari la gerezani shukia chuo
Utamuuliza derevaGereza lipi?
Unasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??
Mwanachuo kuandika hujui??