Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Duh
Alieelewa anihadithie kwa kifupi!
This is pure madness!



