Dhana ya mwanamke kulia siku ya harusi yake.

Dhana ya mwanamke kulia siku ya harusi yake.

Inamaana ndoa za siku hizi ni kama kubariki tu. Okay, ndio maana wachache sana hulia siku ya harusi yao

Ni kama kusubiria mtihani ambao majibu yote unayajua na sio mara ya kwanza kuufanya.Full ma-confidence.
 
Hapo kwenye red, pia
yalikuwa majonzi ya kutengana na familia yake aliyoizoea maisha yake
yote. Mpaka anafika ukumbini huwa haamini kuwa anaondoka kwenda
asikokujua. Siku hizi manungayembe hayalii yanakuwa yamekubuhu tayari na
kila kitu, hana cha kuogopa. Zile walls za vagina canal zinakuwa
zimeota sugu, aogope n
ini!!!!!!!!!!!!!
hapo chacha,anamjua mwanaume kila kona na maiki anajua kuitumia chozi litatoka wapi!
 
Wengine wanafanya maigizo tuu! Ila huwa wanasema ni machozi ya furaha!
 
Hii thread imenipa raha! Nakumbuka hata mie nililia, tena si kulia kidogo. Nililia mnoooooo, nadhani niliolewa mdogo sana pia! Na namuomba sana mungu wanangu at least wafikishe 24, 25 hapo. Si kama mimi 20, tayari nipo kwa mume!

Ila wakati wa kulia kubembelezwa nako raha, haswaaaaa umpate mbembelezaji! Rahaje sasa??
 
mimi sijaolewa ila najua ht siku ya harusi yangu ntalia kwsbb huwa nikienda tu likizo nyumbani siku ya kuondoka nikiwa naagana na mama huwa nalia,ht akija kunitembelea siku ya kuondoka kwake huwa nalia yaan huwa napata uchungu flan hv ambao ht sijui niuelezee vp.
kwhy ht siku ya ndoa yangu lazima ntalia hasa kwa kuzingatia ndo naingia ktk maisha ya ndoa na mtu ambae tumekutana tu ukubwani na isitoshe tena nikifikiria ndo naenda kuanza maisha ya ndoa....kumtunza bwana si kazi rahisi na mabwana wa siku hz walivyo hapo mtu lazima ulie tu.
Kama kuolewa ni kuchungu, jaribu kubaki single girl
 
Boyfriend unaye mwana nadhani, labda kama uko chekechea! Siku hizi Mhhhhhh!!!!!!!!!!!! Basi mimi nitakuwa sugar dady!!!!! lakini wa JF tu usiogope

sugar daddy!!! najiona kama nimeokota apple chini ya mwembe karibu.....iwe siri yetu lakini.
 
ndo maana yake, ndoa za siku hizi ni za kubariki. sasa mtu atalia nini wakati anamfahamu mwenzie Ato Z



Unakuta demu katupa mimba 4, kawa na wanaume 190 kabla ya kuolewa, anacheza kiduku na taarabu hadi unajua huyu AKIJAMBA WALA HUSIKII, kashalegezwa......!!!
Honeymoon anakwambia tunapoteza muda ....
hajatulia hata mwezi ktk ndoa kaanza kudate ma Xsss wake tena this time anawaalika home mwanaume kaenda job kaingiza shwetani ndani..... na mara ya pili Xss wake wataanza kumtafunia hapo hapo home.....

.... WTF...
 
Unalia kwasababu umempata umpendae, huamini kama ndoto zako zimekuwa kweli. Mwanaume uliyempenda kwa dhati sasa amekuwa mume wako wa halali jamii, ndugu na jamaa wote wanatambua hilo.

Unamilikishwa dushelele linakuwa lako.. Iwe mchana iwe usiku unaji sevia lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wa siku hizi wanacheza kuliko waalikwa!
Kuna binti mmoja siku ya s/off yake alicheza hadi wazazi wa mwanaume waliamua kuondoka ukumbini!
Kulia ilikuwa zamani...walikuwa wanahofia ataanzaanzaje kumhudumia mume!

cku hizi kitulize kitu gani wakati kabla ya ndoa tunakua tumehitim mambo yote looooo!
 
Japo kuwa siku hizi hii kitu inapotea kwa kasi. Naomba waugwana wa Jf mtujuze. Nini sababu ya mwanamke kulia siku ya harusi.
Je kuolewa ni mateso, kuto amini kama anaolewa. Embu tupeane mawazo.

Kipindi kile nahisi kulikuwa na mambo 3 wanayahofia, 1, Ni uchungu au Furaha kwa kupata mdusherere wa kudumu, 2, Furaha kuanza ku-Do mfululizo, 3, wengine walikuwa wanaogopa fedheha kwa kuwa si bikra!
 
Japo kuwa siku hizi hii kitu inapotea kwa kasi. Naomba waugwana wa Jf mtujuze. Nini sababu ya mwanamke kulia siku ya harusi.
Je kuolewa ni mateso, kuto amini kama anaolewa. Embu tupeane mawazo.

zamani walikuwa wanalia wakijua ndoa nikifungo cha maisha na watagegedwa na dushelele moja tuu....lakini these days hamna kulia maana ata ndani ya ndoa bado atagegedwa na ma ex wake u mijeba wengine lol
 
Back
Top Bottom