Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
yeah we all make choices in life,sishangai kuna wanaoishi kama malkia kama ambavyo sishangai mikasa ya humu....
My sist, unapoambia wanaume ni wabaya yaani ni kundi dogo sana ila kwa sababu ubaya una harufu mbaya hata alie mbali anahisi.....Wapo wanaume na Magubegube sasa ukiteleza ukakutana na Gubegube ni wazi hutaupata utamu wa mwanamme na ndoa.