Wa siku hizi wanacheza kuliko waalikwa!Japo kuwa siku hizi hii kitu inapotea kwa kasi. Naomba waugwana wa Jf mtujuze. Nini sababu ya mwanamke kulia siku ya harusi.
Je kuolewa ni mateso, kuto amini kama anaolewa. Embu tupeane mawazo.
kuachana na wazazi kwenda kuambatana na jitu unakaa nalo kimashaka mashaka limeshakuambukiza au bado,na ukileta house gal ndio kabisaa amani inatoweka,mnakuwa kama paka na panya ndani......wenye ndoa zenu mnayaweza......mie if i want a ---- i know where to get one this days hii ya kuolewa hainiingii akilini :shut-mouth:
Du!kuachana na wazazi kwenda kuambatana na jitu unakaa nalo kimashaka mashaka limeshakuambukiza au bado,na ukileta house gal ndio kabisaa amani inatoweka,mnakuwa kama paka na panya ndani......wenye ndoa zenu mnayaweza......mie if i want a ---- i know where to get one this days hii ya kuolewa hainiingii akilini :shut-mouth:
Mmekutana ukubwani gani wakati siku hizi wanaanza tangu primary?Jitu ambalo hamjuani mmekutana tu ukubwani :shut-mouth:
Wa siku hizi wanacheza kuliko waalikwa!
Kuna binti mmoja siku ya s/off yake alicheza hadi wazazi wa mwanaume waliamua kuondoka ukumbini!
Kulia ilikuwa zamani...walikuwa wanahofia ataanzaanzaje kumhudumia mume!
Jitu ambalo hamjuani mmekutana tu ukubwani :shut-mouth:
kuachana na wazazi kwenda kuambatana na jitu unakaa nalo kimashaka mashaka limeshakuambukiza au bado,na ukileta house gal ndio kabisaa amani inatoweka,mnakuwa kama paka na panya ndani......wenye ndoa zenu mnayaweza......mie if i want a ---- i know where to get one this days hii ya kuolewa hainiingii akilini :shut-mouth:
Lazima utakua mhanga wa vita wewe
kuachana na wazazi kwenda kuambatana na jitu unakaa nalo kimashaka mashaka limeshakuambukiza au bado,na ukileta house gal ndio kabisaa amani inatoweka,mnakuwa kama paka na panya ndani......wenye ndoa zenu mnayaweza......mie if i want a ---- i know where to get one this days hii ya kuolewa hainiingii akilini :shut-mouth:
...hahahahaahaha..bi harusi alimwaga sebene za kufa mtu mixr viduku nini..?Wa siku hizi wanacheza kuliko waalikwa!
Kuna binti mmoja siku ya s/off yake alicheza hadi wazazi wa mwanaume waliamua kuondoka ukumbini!
Kulia ilikuwa zamani...walikuwa wanahofia ataanzaanzaje kumhudumia mume!
Inamaana ndoa za siku hizi ni kama kubariki tu. Okay, ndio maana wachache sana hulia siku ya harusi yao1. huwa ni machozi ya furaha
2. kwa zamani msichana alikuwa anawaza kulala na mwanaume kwa mara ya kwanza, ilikuwa inatia hofu
3. kwa saivi unakuta mtu alishaishi na mchumba wake kitambo na ameshalala naye uncountable sessions. hivi kweli atalia nini hapo?
kuachana na wazazi kwenda kuambatana na jitu unakaa nalo kimashaka mashaka limeshakuambukiza au bado,na ukileta house gal ndio kabisaa amani inatoweka,mnakuwa kama paka na panya ndani......wenye ndoa zenu mnayaweza......mie if i want a ---- i know where to get one this days hii ya kuolewa hainiingii akilini :shut-mouth:
Usilolijua ni kama usiku wa giza, kwa taarifa yako ukimpata mwanamme aliyekufia utaishi kama malkia na ndio maana wajuaji wako ndoani. Naamini walilia kwa furaha, kwani kulia haimaanishi huzuni peke yake.
Inamaana ndoa za siku hizi ni kama kubariki tu. Okay, ndio maana wachache sana hulia siku ya harusi yao