Dhana ya kuombewa

Tulipiga kelele sana wakati wa kampeni, kulikuwa na viashiria vingi kuwa huko tuendako mambo yatakuwa si mambo...viashiria vilikuwa vya wazi kabisa lakini watu walishangilia na kusifu, sasa picha inakuwa angavu zaidi
 
Mbwa mwizi akikosa chakula sehemu nyeupe, kwa mara ya kwanza huanza kumchukia anaemfuga na kumtishia kumuuma, ila akishindwa huanza hatua ya pili ya kuwa mbwa koko, na hatua ya tatu huzeeka nakuanza kumuomba hifadhi ya kukaa kwa aliyemfuga hadi kifo kitakapomfika
Angalizo;
Mnaombeza JPM badilikine kabla ya kuwa mbwa koko
 
Mchana Jr.naomba uchukue muda kunisikiliza, kwanza mm ni m wananchi nisiyefungamana na upande wwte,
Ila nimelazima kuandika hii baada ya kusoma Post zako na kukuelewa sana, binafsi nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi humu JF lakini KWA nature ya mtu kama ww kutokana na vitu unavyoandikaga na kutoa Elimu humu, ni Wazi kabisa unawafuasi wa upande zote mpaka afisa u salama wa kitaifa, sasa sio vzr sana kuonyesha interest Yako ya upande uliogemea kwani utawapunguzia morale wale wengine,
MY TAKE
Rais anahitaji kuombewa, sana kwa issue za mwilini na Rohoni, maana imeandikwa Bwana asipoilinda nyumba, yeye alindae atakuwa analinda bure, so ni vzr kumuombea mbali na ulinzi wa qanajeshi alionao hapa ni issue ya rohoni mkuu
Asante..

Ni Mimi Classmate wako.
Japo huwezi kunifahamu
 
Asante kwa angalizo. ..nimekuelewa sana lakini kama umenisoma vema napingana na ukinzani wa matamshi ya mkuu.....pengine ni upungufu wa kawaida wa kibinadamu au ni siasa lakini kwa vyovyote kuna kasoro kubwa kwenye muktadha mzima wa jambo lenyewe
BTW ni classmate wangu wa hapa nchini au kule?
 
Hahaha hapa nchi kinondoni pale
..Mshana inapokuja kwenye Issue ya Rohoni kila mwanadamu anatamani uponyaji, na hofu maana hakuna mwenye uhakika na kesho, so mtu anatamani awekwe kwenye maombi.
Na pia kumbuka kuna hekima ya kiongozi, pia si kila mtu anaweza kuongeza isipokuwa kila mtu anaweza kutawala kama akipewa utawala.

Inahitaji uwe na akili kunielwa hapo.
Hahahahaha
 
Aaaamen
 
Dada mpendwa upooo?????,leta maneno.
 
Maombi kwa wakulu yamekoma au bado yanaendelea?
 
A kings heart is a water stream that the ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR controls; and directs it wherever he pleases. ... Proverbs 21:1
 
Umevurugwa jombaa kwani unapoombea nchi Na viongozi wake unadhan mjomba hasan anakua sio kiongoz wakat huo?
 
A kings heart is a water stream that the ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR controls; and directs it wherever he pleases. ... Proverbs 21:1
Nimetoka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…