Dhana potofu yenye roho mbaya ndani yake

kumsomesha sio guarantee ya ndoa, mbona ving'ang'anizi
 
mtima ukiatamia kwa wako mpenzi ni vigumu sana kutumia akili, ndio vile unalala njaa kwa makato ya mkopo uliochukua saccos kumsomesha.
tusijidanganye hakuna cha dhana potofu ni bora kujiandaa kisaikolojia.
na meseji sent, volume imetosha kabisa kabisa. binadamu hana moyo wa nguruwe, ni bora ukatoa frustration zako sio lazima kuua kuliko kuacha[emoji3525]
 
ni bora kujiandaa hapo sawa

Similar Discussions

Back
Top Bottom