mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 118
Ingekuwa gazeti fulani au chama fulani, hivi ninavyoandika kingekuwa korokoroni tayari!!!
Kikwete na ccm yake wamepanda mbegu ya udini katika taifa hili, haya ndiyo mavuno yake.Naweza kukubaliana na wewe ndugu! Katika hali ya kawaida, uchochezi huu hauvumiliki.
Haki ipi? Wapi ambapo mwislamu kaonewa?
Kwani ccm ya mkapa ilivyowatandika risasi kule visiwani na mwembechai kulikuwa hakuna waislam ndani ya ccm? Lakini mbona unaendelea kuilamba ccm makalio..
Mkuu Waislam wote sio CCM wala Waislam hawafungamani na upande wowote kama unavyotaka kulazimisha wewe Waislam ni CCM, wanaofaidika na CCM ni Wakiristo.
Muda wanaotumia kulalama kila kukicha wangeutumia kuanzisha benk, ingekuwa kubwa sana kuliko kuwa na aina ya akaunti ndani ya benk ya Taifa.Ni kama wivu wa kimapenzi. Wewe kila saa unahisi kuwa mke wako ama mmeo yupo na mtu .
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?
Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?
Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !
Yeyote anayekandamiza uislamu ataangukia mfumo kristo mfano hata bakuata, na yeyote atakayetenda haki hata kama mkatolik hatokuwepo kny mfumo kristo. Hapo utakuwa umeelewa sio kila mkristo anachukiwa na waislam. La msingi tenda haki basi.Hivi wakristo wote ni wakatoliki,mbona kuna baadhi ya wakristo wana mtazamo tofauti na wakatoliki mf.wasabato,wao nao wanajumuishwa kwenye hizi lawama za mfumo kristo?
Yaani kuwambia Waislam wapiganie haki yao ni huu uchochozi...hakuna kosa hapo uwoga wako tu.
Wanaofeli kule Zanzibar nao wanafelishwa na nani? Na wakristu wanaofeli nao wanafelishwa na nani?Wameuliwa waislamu wakaomba tume ikakataliwa, the same year kauliwa mbwa tume haraka je sio uonevu?? Unafelisha waislam baraza la mitihan halaf waziri anakuja na jibu rahisi la kukosewa computer je sio uonevu??
Kwa hio kikwete kawambwa bilal shein na wengineo ni wakristo? Ama wanafanya kazi kwa misingi ya kikiristo?Naomba unijubu hili swali wewe brain washed
Wanaofeli kule Zanzibar nao wanafelishwa na nani? Na wakristu wanaofeli nao wanafelishwa na nani?
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?
Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?
Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !
Mkuu hivi ndani ya Chadema hakuna Waislam?
waislam kama Ponda na wewe hakuna ... wachumia tumbo na kutumiwa kwa kuhongwa ubwabwa
huwa wanaitwa disposable
hivi nyie ndio mulio soma?Acha watokwe povu elimu ya madrasa inafanya kazi hapo!hivi mnataka mpewe kazi za serikali kwa degree za madrasa?ndio maana waliobahatika kwenda shule tena kwa kulazimishwa hutawasikia wakilalamika,(mbaazi ikikosa maua husingizia jua)jamii yoyote ikishakosa watu makini wa kupanga mikakati ya maendeleo lazima watafute mchawi upande mwingine.Mara ngapi tumewashuhudia mkichapana bakora kugombea msikiti(mtoro,magomeni,mwenge)mara ngapi mmeuza viwanja hata vya wakfu?hata mkiachwa wenyewe ktk nchi hii bado itakuwa tabu(somalia)hakuna think tank!