Ntakasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 1,428
- 456
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??