Kwenye mifuko pension, DG wa LAPF ndiye mwenye mshahara mdogo. PPF DG anapokea basic salaryTshs 12M, Housing allowance 25%(Tshs 4,000,000), Fuel allowance Tshs 1,000,000(hii ni pamoja na kuwa fulll fueled VX V8) analipiwa house girl, houseboy na walinzi. Anapoanza mkataba wa miaka minne hupewa Tshs 57.6m anunue Furniture. Akimaliza miaka minne hupata Tshs 520M kama Group endowment(hizi anaiba), Tshs 144M as gratuity bila kusahau pension ya Tshs 115.2
Mnamshangaa wa LAPF?
Du! hii kali. Na bado anafukuzana na vi-deal vinavyojitokeza. Hata hivyo the highly paid DG katika social security sector, ni wa PSPF. LAPF cha mtoto