DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution)

Asee si mchezo!!

true, kuna vitoto vinapokea zaidi hapa dar... halafu mtu amekomalia mshahara wakati kinachotula ni maposho na mapocho-pocho
posho ya mafuta
gari la bure (bila kujali posho ya mafuta)
hausi gelo
vibwengo
nyumba
umeme
maji
gesi
entertainment
matibabu
chakula
etc

hizo ni twice ya mshahara.... na bado kuna kreti 3 za soda, tatu za bia, wine, whiskey, brand, nk kila mwezi kulea wageni
 
du ndio maana wengi siku kazi zikiisha na wao bye bye!

true, kuna vitoto vinapokea zaidi hapa dar... halafu mtu amekomalia mshahara wakati kinachotula ni maposho na mapocho-pocho
posho ya mafuta
gari la bure (bila kujali posho ya mafuta)
hausi gelo
vibwengo
nyumba
umeme
maji
gesi
entertainment
matibabu
chakula
etc

hizo ni twice ya mshahara.... na bado kuna kreti 3 za soda, tatu za bia, wine, whiskey, brand, nk kila mwezi kulea wageni
 
nani kakwambia TRa wanalipa vizuri sana kwa govt? TRA wizi ndo unawafanya waonekane wanalipa sana. ila haya mashirika ya mifuko ya ifadhi zab jamiii ndo yanalipa vizuri, na wafanyakzi wao wana myanya michache mno ya rushwa na wizi, ukilinganisha na TRA! njo NHIF huku unione ninavyo ng'aa ndo kwanza nimeanza kazi na kitengo changu hakina hata chaneli ya kuchakachua pesa bali ni kazi tu, na nakula unono!

Ngoja humba akusikie na Comment zako za kijinga jinga!
 
Mbona mimi mwenyewe nimejiajiri kwenye vitalu vya uwindaji huku Katavi kwa mwezi kikichanganya kama hii high season napata milion 15 mpaka 20? Low season napiga kuanzia milion 10 mpaka 15
 
Enzi hizi za www ni vizuri mleta mada ange search juu ya mishahara katika Tanzania, Africa na duniani kwa ujumla. Kwa taasisi ambayo inatengeneza faida mkurugenzi wake kulipwa TZS10m ni pesa ndogo kabisa.
 
Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????
tunataka isawazishe mishahara.
sina maana kua hyo DG alipwe sawa na afisa wa kawaida manake hata majukumu na uzito wa majukumu yao ni tofauti.
nachomaanisha ni kua DG akilipwa 10m, angalau huyo afisa wa kawaida alipwe japo 6.
pili ni kua badala ya serikali kuruhusu mishaaa minono kwa taasisi chahe tuu ni bora ikaswazoisha hyo mishahara na taasisi nyingine na watumishi wengine wote wa umma wakanufaika japo kwa wiyano kidogo.
sasa DG 10M, Mwalimu laki2. DG angelipwa m4, hizo sita zilizobaki zingeto laki mojamoja 60 ambazo waalim 60 wangeongezwa katika mishahar yao.
 
Back
Top Bottom