Dewji: Hakuna Kitu kinaua Urafiki kama Mikopo!!

Jana tu nimeleta Uzi upa wakumkopesa msanii Tsh300000 na mpaka Sasa ataki ata kusikia jina langu kisa yupo dar mm nanjirinji na nimetoka nae mbali San uyu boya Leo kanibrock
 
Mimi nimeacha kukopesha. Kama nina nia ya kukusaidia nakwambia. Kwa kuwa umeomba laki mbili, hiyo pesa sina ila ipo laki moja hapa njoo tu nikupe hiyo bure wala sikukopeshi. Nikishakupa hiyo kilo, najua kwenye kumbu kumbu zangu itafutika kuliko nikukopeshe elfu hamsini alafu usinilipe nakuwa naiwazia full...
Kweli Mkuu. Hii ndio Njia ninatoitumia hata mimi! Faida kubwa ya Njia hii, kwanza uhusiano ama urafiki utaendelea kudumu, 2. kwa vile nimempa bure na sintamdai, atazidi kuniona ni mtu ninaemjali!
 
Jana tu nimeleta Uzi upa wakumkopesa msanii Tsh300000 na mpaka Sasa ataki ata kusikia jina langu kisa yupo dar mm nanjirinji na nimetoka nae mbali San uyu boya Leo kanibrock
Hayo ndo madhara ya kukopesha siku nyingine akija MTU anataka kukopa kataa mwambie sina hela kwa sasa labda nikupe tu elf 50 utumie wala usinirudishie
 
Ila ukitaka rafiki asikukope tena, fanya hivi

Akikukopa laki moja, mwambie una 50k.

Alafu ukiona harudishi unamkumbusha akisema hana mpotezee.

Huyo hakukopi tenaaaaaaa!!

Mana akitaka kukopa anajua anadeni kwako.

Sometime natumia mbinu hii kwa wasumbufu
Mkuu naona umeniiga mimi hii mbinu/mbunu/mbwinu. Mathalani akija mtu nisiyemwamini sana na akawa anataka kukopa 500,000/= mimi nampa kiasi nilicho tayari kupoteza kama hatalipa mfano 100,000/=. Wakati wa kumpa nahakikisha nimesema kabisa kwamba hiyo laki moja ninayompa namkopesha na ndiyo pekee ninayoweza kumkopesha. Hivyo hata asiponirudishia sitaumia sana na pia itamfanya asirudi tena kwangu siku nyingine akihitaji kukopa.
 
Kwa jinsi Hari ya kimaisha ilivyo ngumu, ukimkpopesha hela rafiki yako unapoteza vitu viwili kwa mpigo, hela na rafiki yako. kuna jamaangu nilimkopesha hela miaka mitatu iliyopita, amepotea yeye pamoja na hela yangu.
 
Ila ukitaka rafiki asikukope tena, fanya hivi

Akikukopa laki moja, mwambie una 50k.

Alafu ukiona harudishi unamkumbusha akisema hana mpotezee.

Huyo hakukopi tenaaaaaaa!!

Mana akitaka kukopa anajua anadeni kwako.

Sometime natumia mbinu hii kwa wasumbufu
Yani akupe kwanza 50k ndio umpe laki?
 
Back
Top Bottom