Mkuu kwenye maigizo, Muigizaji Mkuu huwa lazima afike mwisho wa movie.Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Ameongea point maana kila kitu kinawezekana mzee!!!Bora hizo habari ungeongea na mlevi mwenzako bar mkitumia pesa za CCM
Weka ushahidi kama hana shahada ya chuo kikuu kinachotambulika. Pia weka vigezo vya kuwa rais siyo unaleta porojo na kuchafuanaJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Ndio atakuwa rais Kwa sababu hakuna sehemu katiba inasema mgombea mwenzao anapaswa kuwa na shahada .Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Yote inawezekana mkuu, sa100 mwenyewe alipata zero form 4 leo ndo huyo tunaambiwa mi5 tena!Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Ni dada flani mwenye pesa zake anayeishi MorogoroJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Kwani Yericko anasemaje?Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
😆😆😆😆Bora minja mwenye cheti cha f4 kuliko Samia ambaye hana kabisa
Kwani sifa za mgonbea urais na mweza si lazima angalau wawe ni degree holder?Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
NdioJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Bora ata huyo ana Cheti Cha kidato Cha nneJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Wewe Devotha Minja ana Master Degree , I think she consulted me several times with her piece of work back then, japo nilikuwa Dodoma kikazi ila nadhani nikicheki inbox zangu ntaleta ushahidiJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Samia mbona kaweza wakati ni form IV tena hakufanya vizuri? 😳😳😳Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum mwalim akaondoka duniani. JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
~like same same but different~Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?