Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,396
- 18,203
Dah....🤔
jina kama linatisha vileDaudi1 Che mittoga leo dada Mopak Tumwesige senior Kalpana Abou Shaymaa bila kumsahau damu yangu kaka angu kipenzi Single The Loner
Tupo tunafulahia maisha kwa stori kaliDaudi1 Che mittoga leo dada Mopak Tumwesige senior Kalpana Abou Shaymaa bila kumsahau damu yangu kaka angu kipenzi Single The Loner
Tupo tunafulahia maisha kwa stori kaliDaudi1 Che mittoga leo dada Mopak Tumwesige senior Kalpana Abou Shaymaa bila kumsahau damu yangu kaka angu kipenzi Single The Loner
Karibu sana ndugu mjumbe,usisahau ku like na ku commentTupo tunafulahia maisha kwa stori kali
Ila James 🤣🤣DEVIL’S FAMILY (FAMILIA YA MASHETANI) 23
ANGALIZO: KAMA UPO CHINI YA UMRI WA MIAKA 18. TAFADHALI USISOME HII HADITHI.
ILIPOISHIA
“Sawa majibu yetu yapo tayari.”
James akameza mate mengi kwani hospitali aliyo fika na Rose ni hospitali ambayo hajawahi kuingia siku hata moja na hata madakatri hafahamiani nao.
“Tuanze na majibu yapi ya blood group au HIV?”
“HIV”
‘Huyu mwanamke kanipangia shari ehee?’
James aliwaza akilini mwake, huku mwili wake ukihisi joto kali japo ndani ya ofisi hiyo kuna upepo wa AC.
“Sawa tuanze ya mume au mke?”
“Yoyote tu dokta”
Rose alizungumza akiwa na tabasamu pana usoni mwake.
“Bi Rose, vipimo vina onyesha hauna maambukizi ya virusi vya ukimwi. Maana yake upo Negativ”
James macho yakamtoka akimtazama daktari.
“Mr Jmaes”
“Ndio dokta”
‘Daa kama nimeathirika ina maana huyu mtoto mzuri hapa simpati tena. James nimejichanganyaje mimi masikini ya MUNGU……Da….aa….a…’
James aliwaza huku akiwa haelewi ni majibu gani ambayo daktari ata mpatia na kila anapo kumbuka amefanya mapenzi na zaidi ya wanawake mia tatu akili yake ina zidi kumvuruga.
ENDELEA
“Majibu yako ni Negative…Huna virusi vya ukimwi”
James macho ya mshangao yakamtaoka. Akamtazama daktari kwa mshangao.
“Ndio huna maambukizi ya virusi vya ukimwi”
“Asante sana dokta”
“Mujilinde na baada ya miezi mitu murudi tena kufanya chake up kwa mara ya pili”
“Asante sana daktari”
James akataka kunyanyuka.
“Babe hatujamaliza”
Rose akamzuia James kunyanyula.
“Ohooo samahani.”
Daktari akatabasamu.
“Mzee hukutegemea majibu uliyo yapata nini?”
“Weee acha dokta”
Rose na daktari wakacheka.
“Group za damu zenu hazina tatizo lolote katika swala zima la uzazi hivyo kama ni kutafuta watoto basi muna weza kutafuta”
“Asante sana daktari”
Wakatoka ofisini kwa daktari huku James akitembea kwa mwendo haraka haraka.
“Jamani James mbona unaniacha”
“Yaani una weza kuitwa ukaambiwa majibu yamekosewa”
Rose akacheka njia nzika hadi wakafika ndani ya gari.
“Furaha niliyo nayo niambie nikupe zawadi gani?”
“Hahahaaa nakutaka wewe”
“Kweli?”
Rose akamvuta James karibu yake akamnyonya denda zito.
“Tupo hospitalini mpenzi naweza kuliamsha dude hapa watu wakatuona watu wa ajabu”
James alizungumza huku akimtazama jogoo wake aliye tuna katika suruali.
“Nimuone kidogo”
Rose akfungua zipu ya James na kaamtoa jogoo wa James.
“Waooo……aia..si……”
Rose alizungumza akimchua taratibu jogoo wa James aliye jaa kiganja chake chote.
“Babe washa gari tuondoke nimechanganyikiwa mwenzio”
James alilalama. Rose akavuta pumzi nyingi na akawasha gari na kuondoka eneo la hospitalini.
“Mpenzi wangu punguza mwendo”
“Huku chini kuna waka moto mwenzio”
Rose alizungumza akizidi kuongeza mwendo wa gari lake. Cha kumshukuru MUNGU wakafika nyumbani kwa James salama. Wakashuka kwenye gari kana kama watu wanao shambuliwa na nyuki. James akambeba Rose huku wakiendelea kunyonyana denda. Wakaingia ndani, hapakuw ana haja ya kupelekana chumbani. James akamlaza Rose ya juu ya sofa na akamvua nguo zake haraka haraka kisha na yeye akavua nguo zake zote. Hapakuwa na haja ya kuandaana kwani tayari Rose amesha lowa. Mechi ya kukata na shoka ikaanza na kumfanya Rose achanganyikiwe mapigo na mwendo anayo patiwa na James ambaye kwenye upande wa mechi yeye ni lengendary kwani hata akutane na mwanamke aliye kubuhu kwa kuwa na wanaume wengi ni lazima ahakikishe ana mifikisha kileleni.
***
“Dada yako katuwekea mtego nini?”
Jack alizungumza akiwa amekaa siti ya pembeni na alipo kaa Vaileth.
“Kwa nini?”
“Ameuruhusu kirahisi kuongozana na mimi”
“Uzuri ana niamini”
Jack akamtazama Vaileth.
“Ndio ana jua sina mambo mengi”
“Ujue sister amenidaka asubuhi nikitoka chumbani kwako”
“Weee”
“Ndio na kakasirika”
“MUNGU wangu…..”
“Ndio najiuliza isije hii ruhusa ikawa ni mgeto kwetu”
“Hapana sio mtego”
“Una uhakika gani?”
“Una hisi dada yako ana weza kumuambia mke wako kuwa kakuona umetoka chumbani kwangu?”
Jack akajifikiria na akatingisha kichwa akimaanisha.
“Hawezi”
“Sasa kama hawezi hii ni ruhusa dada kaitoa kiroho safi. Tukatafute hoteli nyingine tupeanae show hadi jioni ndio turudi”
“Ngoja nimalize kwanza manunuzi kisha baada ya hapo tukapindua.”
“Nikajua umechoka”
“Nachokaje na huo utamu wa kum** yako”
“Weee dereva ata sikia”
“Hajui Kiswahili”
Jack alizungumza huku akiyatomasa tomasa mapaja ya Vaileth.
***
“Njoo hivi”
Sophie alizungumza huku wakibadilisha mkao wa show wanayo ipiga. Wakaendelea kusagan** hadi wote wawili wakafika kileleni wakiwa wamechoka, jasho likiwamwagika.
“Huko mbele tunapo endelea sinto elewa kabisa”
Sophia alizungumza huku akihema.
“Huto elewa nini mpenzi wangu”
“Nita kuachanisha na dogo”
“Jamani ndio nimesha olewa”
“Nilikuruhusu kishongo upande ila mimi ndio mpenzi wako wa kwanza.”
“Ila hili si tulisha liweka sawa”
“Hizi raha dogo ana zipata kila sikukwa nini?”
Sophi alizungumza akiwa amejawa na wivu.”
“Mzalie mtoto mmoja kisha uombe talaka”
“Mmmm”
“Una guna ukimaanisha una mpenda au?”
“Wewe ndi nina kupenda zaidi”
“Sasa nina kupa ruhusa ya kuzaa naye mtoto mmoja tu. Ili na wewe usikose mtoto kwenye maisha yako”
“Sawa mpezi nimekuelewa.”
Valentia akashuka kitandani na kuingia bafuni.
‘Au nimuambie mdogo wake ana liwa na Jack…..Hapana sitaki kuwagombanisha acha siri iendelee kubaki kuwa siri.’
Sophia aliwaza tu akilini mwake.
***
“Mama yupo wapi?”
Mzee Tiger alimuuliza mmoja wa wafanyakazi wa ndani.
“Yupo eneo la bustani”
Mzee Tiger akaelekea moja kwa moja katika bustani iliypo nyuma ya nyumba yao ambayo bustani hiyo ina elekea baharini.
“Kumbe uupo huku.”
“Ndio mume wangu. Umerudi muda gani?”
“Muda huu”
Mzee Tiger akachukua kipande cha biskuti na kula. Akakaa kiti cha pembeni na mkewe.
“Hahari leo imetulia hakuna mawimbi”
“Imetulia sana. Vipi James amesha pata taarifa zake”
“Ndio”
Mzee Tiger akamuonyesha mkewe picha ya rafiki wa mzee Chiko.
“Huyu mseng** si alikufa?”
“Ndio alikufa ila ame fake kifo chake. Na watu wangu wamemuona ameingia ubalozi wa Marekani leo”
“Akifwata nini?”
“Ana ishi Marekani kumbe.”
“Ahaa….mshenzi ndio aliye taka kuniulia mwanangu”
“Sio mwanao tu. Hata yule mshenzi niliye kwenda kukutana naye sikukuambia tu. Eti alilipwa na huyu fala aniue. Na mtego nilio muwekea ulikuwa ni mdogo sana. Nilimuina kwenye ile nyumba yetu na Nairobu kule, nilisha weka wadunguaji kila kona. Nikakaa kwenye chumba kile chenye madirisha makubwa na wakaja. Katika kuongea ongea wakajifanya wajuaji nikawapa ishara akawaua walinzi wake alio ongozan anao”
“Walinzi wako wakiwa wapi?”
“Niliwaambia wabaki nje na waliwaruhusu kuingia na bunduki zao”
“Kwa nini sasa?”
“Nilitaka kumpa uhuru wa kuzungumza”
“Duuu…..”
“Hivyo alivyo ona walinzi wake wameuliwa akataka kunishambulia kwa risasi ila wadunguaji wangu walikuwa makini, wakampiga risasi iliyo kata kiganja cha mkono wake ulio shika bastola na baada ya hapo msiba ukawa upande wake. Nikapata namba ya huyu fala James ndio kanipa ripoti yake”
“Duuu”
“Mpuuzi sana.”
“Ndani ya ubalozi wa Marekani huna mtu akaenda kummaliza?”
“Sinai la asitoke na hata akisafiri kwenda Marekani basi nita hakikisha ana kufa. Fala sana”
“Hakikisha ana kufa”
“Hilo usijali mke wangu ata kufa. Halafu una tambua wanao wana matatizo”
“Wana matatizo gani?”
“Nimeikuta hii gari nje ya nyumba ya James. Katika kufwatilia usajili imesajiliwa kwa jila la Rose Lupin”
“Mtoto wa Chiko?”
“Ndio”
“Amefwata nini nyumbani kwa James”
“Sijui kwa kweli”
“Mmmmm peleleza”
“James ni mtu mzima ana jitambua. Ana jua kinacho endelea katika hizi familia mbili hivyo akileta ujinga ni wake”
“Mume wangu hata kama ni mtu mzima ila James kwetu bado ni mtoto. Ana haki ya kuongozwa”
“Sitaki kumtibua”
“Asije akaanzisha mahusiano na huyo mwanamke kwa maana mwanao udhaifu wake ni wanawake na mwisho wa siku akaja kutuchunguza na kulipa kisasi”
“Labda ata mla na kumuacha”
“Mume wangu. Mapenzi ni mambo ya ajabu….Na tukumbuke James ndio mtoto wetu wa kwanza….Kama ataanzisha mahusiano na mtoto wa adui yetu, haki ya MUNGU siwezi kubalian ana hilo penzi”
“Tuachane na mambo ya James twende zetu chumbani”
“Mume wangu na jua lote hili?”
“Kwani lina wakia chumbani…..Twende bwana”
Mrs Tiger akanyanyuka na kuanza kumfwata mume wake kwa nyuma.
‘Eheee MUNGU wangu ita kuwaje akijua nimeingiliwa na mwanaume mwengine ikwia sikuwahi kumsaliti jamani….’
Mrs Tiger aliwaza wakipandisha ngazi kuelekea chumbani kwao. Wakaingia chumbani na mzee Tiger akaanza kumvua mke wake nguo mja baada ya nyingine.
“Mbona huna uchangamfu una nini?”
“Habari ya James na huyo mwanamke ina niwazisha mume wangu…..Nakumbuka tulivyo watupa ndugu zake na baba yake wakiwa hai katika lile bwawa la mamba. Halafu leo hii mtoto wa kwanza wa uzao wangu akamuoe mtoto wa adui yetu hapana mume wangu……Hii taarifa imenikosesha amani moyoni mwagu”
Mzee Tiger akaacha kumvua mke wake nguo.
“Sidhani kama kuna mahusiano yana weza kuzalishwa katikati yao”
“Namuwekea wapelelezi wa siri”
“Ili”
“Awe ana fwatiliwa. Kama wata kuwa na mahusiano tuyazuie haraka sana mume wangu”
Mzee Tiger akaka kitandani na kujitafakari kwa sekunde kadhaa.
“Wee niambie yule binti ana hisi kuwa sisi tumewaua ndugu zake na baba yake. Haijaisha hata wiki awe na mahusiano na James. Director wa kampuni yetu ya silaha na tenkonolijia mbaya zaidi yule binti ni mpelelezi kama mulivyo sema niambie mume wangu kuna nini hapo?”
“Una jua James hajawahi kunidanganya ila leo kanidanganya”
“Kakudanganya nini?”
“Nilipo muuliza kuhusiana na gari nililo likuta nje kwake akasema ni gari la rafiki yake na huyo rafiki yake amemuazima gari lake jengine. Sasa gari ni ya Rose Lupini ina maana alimficha mimi nikiwa mule ndani”
“Ohooo MUNGU wangu……Kama ana kuficha wewe baba yake niambie kuna nini ambacho kina endelea baina yao”
Mzee Tiger akamtazama mkewe.
“Nampigia simu”
Mrs Tiger alizungumza huku akichukua simu yake.
“Ngoja kwanza”
“Nini sasa”
“Usimpigie simu”
“Una taka kufanyaje?”
“Nyumba zangu zote nina uwezo wa kuingia kwenye mifumo ya kamera. Ngoja”
Mzee Tiger akatoa simu yake mfukoni, akaingia katika app ambayo ameitengeneza James na app hiyo una weza kufwatilia kamera za yumba zote zinazo milikiwa na mzee Tiger. Akaingia katika kamera za nyumani kwa James huku mke wake akimtazama anacho kifanya. Macho yakawatoka huku wakimtazama James jinsi alivyo kaliwa kiunoni na Rose, wakiwa juu yakochi wakifanya mapenzi huku makelele ya Rose ya kiwa yametawala nyumba nzima.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Hofu na wasiwasi walio uwaza kuhusiana na mapenzi ya Jamse na Rose wameudhibitisha ni kweli kijana wao wa kwanza ana mahusiano ya kimapenzi na Rose mtoto wa Marehemu Chiko je ni nini mzee Tiger na mke wake wata kifanya? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 24.
Yes my love
OyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeYanga oyeee