Devil’s family(familia ya mashetani) 01

Devil’s family(familia ya mashetani) 01

DEVIL’S FAMILY(FAMILIA YA MASHETANI) 20

ANGALIZO: KAMA UPO CHINI YA UMRI WA MIAKA 18. TAFADHALI USISOME HII HADITHI.

ILIPOISHIA
“Sikutishi ila nina kueleza ukweli halisi wa mambo yanavyo kwenda. Umejaribu kuigusa familia yangu pasipo kujua una dili na familia ya nani?”
“Hahahaaa Tiger. Usicho kijua nimelipwa pesa nyingi kwa ajili ya kukuua. Na ninakupa afasi ya uendelezo sali sala yako ya mwisho kabla sijakuua”
Mzee Tiger akatabasamu, akatoa sigara katika pakti yake. Akaiwasha, akavuta fumba moja.
“Na ulikuwa una waza nini kuja Kenya na walinzi wako wawili…..Hahahaaa na wapo nje na umeturuhusu sisi kuingia ndani ya chumba hichi na silaha zetu…..Malizia sigara yako nikuue”
Mwanaume huyo alizugumza huku akitoa bastola katika koti lake la suti na akaishika kwa mkono wake wa kulia. Mzee Tiger akavuta tena sigara yake na akatoa ishara kwa wadunguaji wake wanao fwatilia kila inacho endelea katika chumba hicho ambacho kina madirisha makubwa. Walinzi wa waname huyo wote wakapigwa risasi za vichwa wa wadunguaji na kuanguka chini na kumfanya mwnaaume huyo kuweweseka kwani shambulizi hilo hakulitarajia hata kidogo.

ENDELEA
“U…..me…..fanya nini?”
Mwanaue huyo alizungumza kwa kubabaika huku akinyanyua mkono wenye bastola na kutaka kumfyauliza risasi mzee Tiger, kabla hajafyatua risasi akashuhudia kiganja chake kikikatika kwa kupigwa risasi na kikatenganishwa na mkono huku kiganja kikianguka chini na bastola. Yowe la maumivu makali anayo yapata kiongozi wa kundi la majambazi likawafaya walinzi wawili wa mzee Tiger kuingia ndani.
“Subirini tu nje”
“Sawa mkuu”
Mzee Tiger akanyanyuka kwenye kiti alicho kalia. Akavuta sigara yake huku akimtazama mwanaume huyo.
“Damu itaendelea kumwagika na utakufa. Ila una nafasi ya kuepukana na kifo kama utanitajia aliye watuma ni nani basi nita hakikisha una pata huduma ya kwanza”
“Ni….ni?”
“Nani?”
“Anaitwa Bony. Rafiki wa mzee Chiko, ana ishi Marekani”
“Una mawasiliano naye?”
“Ndio kwenye simu yangu ipo namba yake”
Mzee Tiger akanyanyuka, akatoa gloves katika koti la suti yake. Akazivaa viganjani mwake. Akaitoa simu ya kiongozi w amajambazi katika mfuko wa suruali.
“Ina hitaji finger print”
“Kiganja ulicho kikata”
Mzee Tiger akaokota kifanja kilicho shikilia bastola. Akakitazama kwa sekunde kadhaa kisha kwa kutimia kidole cha kiganja cha kiongozi wa genge la majambazi, akafyatua risasi iliyo mpiga kichwani kiongozi na genga hilo na akafa. Akaiachanisha bastola na kiganja kisha akatumia kidole gumbu kufungua simu ya kiongozi na ikafunguka. Akatoka ndani ya chumba hicho.
“Ni muda wa kuondoka sasa. Kusafishwe”
“Sawa mkuu”
Mzee Tiger akaingia ndani ya gari na mlinzi wake mmoja akasalia kusimamia zoezi la kuiyayusha miili ya majambazi katika tindikali huku kazi hiyo wakiwapatia watu wawili wanao dili na kuipoteza miili ya watu walio uwawa bila ya kubakisha ushahidi wa aina yoyote.
Mzee Tiger akaikagua simu na kuipata namba ya Bony. Akakuta na jumbe za meseji ambazo Bony alikuwa akichati na kiongozi wa genge la majambazi.
“Mkuu kiongozi wa hili genge ameuwawa. Huoni vibaraka wake wamebaki na wata jaribu kulipa kisasi?”
Mlinzi aliyomo ndani ya gari na mzee Tiger alishauri.
“Wote tayari wapo kwenye rada ya polisi wa Kenya na watakamatwa”
Mzee Tiger akaituma namba ya Bony kwa James kisha akamapigia simu.
“Baba shikamoo”
“Marahaba. Umelala?”
“Hapana bado nina fanya kazi”
“Kuna namba nimekutumia whatsapp umeiona?”
“Ndio”
“Nitafutie huyo mtu taarifa zake kwa kina na ujue yupo wapi?”
“Sawa mzee. Bado upo Kenya?”
“Ndio nageuza muda si mrefu”
“Sawa mzee”
Mlinzi wa pili akaingia ndani ya gari.
“Kila kitu kipo vizuri mkuu”
“Tuondokeni.”
Wakaanza kuondoka kwa mwendo wa taratibu. Wakakutana na gari ya wadunguaji walio kuwa amejificha msituni ikiwasubiria barabarani na wakaongozan anao na safari ya kuelekea uwanja wa ndege alipo iacha private Jet yake ikaanza.
***
“Nimelewa mume wangu…..aoiioo nimeleewaaaaa”
Valentina alizungumza huku Jack akimsaidia kutembea wakitoka kwenye lifti ya gorofa. Wakaingia katika eneo walilo kodisha.
“Umekunywa shot za kutosha”
“Ndio mume wangu…….ai”
“Usiku mwema jamani”
Jack alimuaga dada yake pamoja na shemeji yake ambao nao wamelewa kutokana na kiwango kikubwa cha pombe kali walizo kunywa. Akamlaza Velentina kitadani, akaanza kumvua viatu na nguo alizo zivaa.
“Kweli huziwezi pombe mke wangu”
Jack alizungumza akitabasamu. Akamfunika shuka mke wake, akavua nguo alizo viaa na kujilaza pembeni ya mke wake, akatazama saa katika simu yake na ina onyesha ni saa kumi na moja alfajiri asubuhi. Akamtazama Valentina ambaye tayari usingizi umesha mchukua. Akashuka kitandani akiwa na boksa. Akatoka chumbani kwake na moja kwa moja akaelekea chumbani kwa Vaileth. Akaukuta mlango upo wazi haujafungwa kwa ndani kama alivyo mpa maagizo Vaileth. Akamtazama Vaileth aliye jilaza kifudi fudi kitandani huku akiwa uchi kama alivyo zaliwa. Akaufunga mlango kwa ndani na akavua bukta aliyo ivaa.
“Mbona haraka dada kalala?”
“Yeah pombe alizo kunywa ni nyingi, haziwezi kumuamsha sasa hivi”
“Una uhakika?”
“Asilimia mia moja”
Jack akapanda kitandani huku akiyatomasa makalio malaini ya shemeji yake Vaileth. Hapakuwa na muda wa kupoteza na wakaanza kupiga mechi ya kukata na shoka na safari hii mechi ina pigwa kitandani hivyo kila aina ya mikao wana iweka.
***
Busu alilo pigwa mdomoni, likamkurupua mrs Tiger.
“Za asuubhi mke wangu”
Mzee Tiger alizunguzma huku akivua nguo moja baada ya nyingine.
“Safi mume wangu. Umerudi?”
“Ndio. Mbona umeshtuka?”
“Nimelala peke yangu sikujua kama umekuja muda huu. Lazima nishtuke”
“Pole”
“Za safari?”
“Imekwenda vyema. MUNGU ni mwema nimerudi salama”
“Saa ngapi sasa hivi kwani?”
“Saa mbili asubuhi”
“Nimelala sana mume wangu”
Mrs Tiger akashuka kitandani na akaelekea bafuni. Mzee Tiger naye akamfwata kwa nyuma akiwa kama alivyo zaliwa.
“Nimekumiss mke wangu”
Mzee Tiger alizungumza akimpapasa papasa mgongoni mke wake.
‘Akiniingilia si ataona kuna utofauti jamani?’
Mrs Tiger alizungumza mapigo ya moyo yakimuenda kasi.
“Mume wangu umechoka. Pumzika”
“Sijachoka kimoja tu”
Mzee Tiger alizungumza huku akimchua jogoo wake ambaye bado amelala.
“Hata yeye una muona hataki kachoka mume wangu”
Mzee Tiger akajihisi fedheha kwani ana jitahidi jogoo wake asimame ila ana shindwa kwani hana nguvu za kutosha za kumsimamisha.
“Kweli kachoka”
“Hili tatizo mume wangu tulitafutie uvumbuzi?”
Mrs Tiger alizungumza akimtazama mumewe anaye simama chini ya bomba la mvua na akavungua maji yakaanza kumwagikia.
“Umri una changia.”
Mzee Tiger alijibu kinyonge huku akiendelea kuoga.
“Pole sana mume wangu ila tuhangaike hivyo hivyo”
Mrs Tiger akamaliza kujisaidia haja ndogo kwenye choo cha kukaa. Akavua kigauni chake cha kulalia na akamsogelea mume wake anaye endelea kuoga na akaanza kumuogesha mume wake.
“Imekuwaje huko”
Akaanza kumuadhithia mke wake kilicho tokea nchini Kenya.
“Si ungeibeba miili yao mamba wangu waje kupata chakula huku?”
“Hapakuwa na haja ya kufanya hivyo”
Wakamaliza kuoga na wakatoka bafuni.
“Nataka nipumzike kidogo”
“Nikuandalie nini?”
“Kifungua kinywa chochote. Niamshe kwenye saa nne hivi”
“Sawa mume wangu”
Mrs Tiger akavaa nguo na akatoka chumbani kwake huku moyo wake ukiwa umetulia kwani alicho kuwa ana kiomba ni kuto kufanya mapenzi na mume wake.
***
“Mmmmm”
Sophia akaguna na kumshtua Jack aliye toke chumbani kwa Vaileth akiwa na bunkta tu.
“Kumbe umeamka?”
“Ndio nimeamka……Unatoka kufanya nini chumbani kwa shemeji yako?”
“Aha….nilikuwa nina muangalia ameamkaje?”
“Hivyo ulivyo vaa?”
Sophia aliuliza akimkazia macho Jack.
“Ahaaa….”
Sophia akamshika mkono Jack na akaingia ndaye chumbani kwake.
“Niambie nini kina endelea kati yako na shemeji yako?”
“Sister ila usinichome”
“Nakusikiliza?”
“Aha…aha….nina toka na Vaileth”
“Mkeo akijua unahisi ata jisikiaje. Mbaya una ni ndugu yake wa tumbo moja. Akili yako ipo sawa?”
Jack akakaa kimya.
“Umezingua dogo. Hauna hata siku mbili za ndoa ila una fanya huu ujinga”
“Kausha”
“Usiniambie nikaushe una hisi dada wa watu ata jisikiaje.”
“Iwe siri basi”
Sophia akashusha pumzi nyingi.
“Mke wangu hato kuja kujua kama nina toka na mdogo wake”
“Shauri yako, ukivunja ndoa kwa upumbavu wako uta jua mwenyewe”
“Usijali sister kuwa na amani”
“Kwa kukutinzia siri yako lazima uigaramie”
“Khaaa….!?”
“Ndio”
“Unataka nini?”
“Utajua cha kunipa kinifurahishe tupo Dubai”
Jack akamtazama dada yake kwa sekunde kadhaa.
“Sawa nimesha jua nini cha kukupa?”
“Kiti gani?”
“Subiri uta kiona. Ila ukaushe”
“Una nijua friji langu lina gandisha”
“Hapo ndipo ninapo kupendea. Hata huyu mdogo wake pia mkaushie usi muulize ulize maswali”
“Usijali”
Jack akatoka chumbani kwa dada yake na akaelekea chumbani kwake. Akamkuta Valentina akiwa bado amelala, akapanda kitandani na akalala pembeni yake.
***
James akazitazama picha za Bony huku moja wapo ya picha katika rekodi akiwa na Rose akiwa mdogo shule ya msingi.
‘Nikimpatia hizi taarifa mzee nita muumiza Rose’
James aliwaza akitafakari nini cha kufanya. Akaichkua simu yake, akajifikiria kwa sekunde kadhaa na akampigia simu Rose.
“James”
“Bado umelelea?”
“Simu yako ndio ina niamsha hapa. Unaendeleaje?”
“Nipo poa.”
“Una zungumza kama hujatoka usingizi. Hujalala toka usiku?”
“Sijalala. Naweza kuonaa na wewe?”
“Mmmm saa ngapi?”
“Asubu hii?”
“Mbona mapema sana. Saa mbili now”
“Nina jambo la muhimu sana nataka kuongea na wewe”
“Kuhusiana na sisi?”
“Hapana kuhusiana na wewe pamoja na mzee mmoja anaitwa Bony”
Rose akakurupuka usingizini. Kwani Bony ni rafiki wa baba yake na ni jana tu ametoka kukutana naye.
“Tuna onanania wapi?”
Sautiya Rose ikabadilika.
“Wapi unaona patakuwa pana faa?”
“Una niruhusu nije nyumbani kwako?”
“Sawa njooo”
“Nakuja”
Rose akashuka kitandani, akaoga na akajiandaa haraka haraka. Akaondoka nyumbani kwao akitumia gari jengine tofauti na gari aliyo itumia siku ya jana. Akafika nyumbani kwa James.
“Karibu”
James akampokea huku akimkumbatia.
“Nifwate”
Rose akaongozana na James hadi katia ofisi ya James aliyo ijenga chini ya ardhi katika nyumba yake.
“Waooo una ofisi nzuri”
“Nashukuru”
James akawasha koo cha computer. Rose akaona picha yake akiwa na rafiki wa baba yake.
“Umeipata wapi hii picha?”
“Kwenye kumbukumbu zake. Mim ni mdukuzi nikihitaji taarifa za mtu kuzipata ni rahisi labda awe hajawahi kutimia vitu vya electronics kama simu na vitu vingine”
“Umemjuaje?”
“Baba yangu alinipa namba zake nipate taarifa zake.”
“Baba yako?”
“Ndio. Kabla sijamrudishia ripoti nikaona niongee na wewe. Una mfahamu vipi huyu mtu. Kwani picha yako imenishtua kukuona naye tena ukiwa na umri mdogo”
Rose akameza mate mengi huku akiwa njia panda kwani bado hamuamini James kwa asilimia mia moja kama kweli ana mpenda au yupo kwa ajili ya kumpeleleza.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Mzee Bony kwa sasa ni kama baba aliye baki kwa Rose je Rose ata mfungukia ukweli wote James ambaye amepata taarifa za mzee Bony au ata mdanganya? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 21.
 
DEVIL’S FAMILY (FAMILIA YA MASHETANI) 17

ANGALIZO: KAMA UPO CHINI YA UMRI WA MIAKA 18. TAFADHALI USISOME HII HADITHI.
ILIPOISHIA
Mlango wa nyuma ukafunguliwa na akaingia ndani ya gari hilo. Akawatazama wasichana wengine sita alio wakuta ndani ya gari hiyo ambao nao pia wamejiremba na kupendeza. Akawasalimia wasichana hao na safari ikaendelaa. Kwa mwendo wa dakika ishirini, wakawa wamefika katika jumba la kifahari linalo milikiwa na James.
“Huyu ni mteja wangu namba moja. Sinto hitaji malalamiko yoyote kutoka kwake. Chochote atakacho kitaka mukifanye tuna elewana”
Manamama aliye kaa siti ya mbele akiwa na dereva alizungumza.
“Sawa madam”
Wasichana wote walijibu huku Rose akitajibu kimya kimya. Wakashuka ndani ya gari na wakaingia ndani jumba la James.
“Warembooo karibuni sanaaaaa”
James alizungumza kwa furaha hukua kishuka kwenye ngazi akiwa amevalia boksa pekee na mkononi mwake akiwa na chupa ya pombe kali ikimaanisha tayari kichwa chake kimesha waka moto.

ENDELEA
“Nimekuletea pisi kali za kwenda. Watoto wazuri kama hawa huwezi kuwapata popote hapa Tanzania”
Mwanamama ambaye ni dalali alizungumza na kumfanya James kuwasogelea wasichana hao. Akamshika mmoja na kumgeuza nyuma na kuangalia makalio yake. Akamsogelea Rose na kumgeuza. Akayaminya makalio ya Rose.
“Una matak** malaini sana aissiii”
Rose akatabasamu huku akiyatingisha tingisha makalio yake.
“Huyu nimuemuelewa sana”
James alizungumza akimtazama Rose usoni mwake.
“Kweli”
“Yaah wengine rudi nao leo nahitaji mmoja tu na nitamchukua huyu”
“Sio kawaida yako tajiri”
“Unajua mishe mishe za harusi zimenichosha sana. Namuhitaji huyu mmoja ni relax naye hata kwa siku mbili.”
“Sawa kwa kuwa umewalipia mimi sina tatizo tajiri wangu”
Mwanamama akaondoka na wasichana wengine na kumuacha Rose.
‘Asije akawa amenishtukia?’
Rose aliwaza akilini mwake akimtazama James akifunga mlango wa nyumba yake.
“Utatumia kinywaji gani?”
“Chochote mpenzi”
Rose alizungumza kwa sauti laini iliyo mfanya James kuzidi kuchanganyikiwa.
“Kwa mrembo kama wewe wine ita kufaaa”
James alizungumza huku akitembea hadi kwenye kaunta iliyopo sebleni kwake, ambayo imejaa vinywaji vya kila aina. Akachukua chupa ya wine na kurudi alipo kaa Rose. Akamiminia katika glasi na Rose akaanza kunywa wine hiyo.
‘Nita kuua siku ya leo’
Rose alizungumza akimpigia mahesabu James namna gani ya kumuua/
“Wewe sio malaya”
James alizungumza kumfanya Rose kushtuka kidogo.
“Una maanisha nini?”
“Nimetembea na wanawake wengi sana wanao jiuza. Ila wewe ni wa tofauti sana. Hujaguswa”
“Nisiwe muongo ndio nina anza”
“Hahahaaa……Nifwate”
Wakanyanyuka sebleni na wakaingia chumbani kwa James.
“Una chumba kizuri”
“Asante”
James alizungumza huku akiwasha tv. Rose akashtuka kujiona picha yake katika tv hiyo.
“Nakufahamu. Wewe ni Rose mtoto wa mzee Chiko. Kama umekuja kunilipizia kisasi tafadhali huto weza kufanya hivyo”
Rose akashtuka kwani alicho kuwa ana kipanga kimeshtukiwa mapema sana.
“Baba yako amemuua baba yangu na kaka zangu kwa kuwatupa katika bwawa la Mamba?”
“Sina taarifa hiyo”
“Hilo ndio lililo tokea. Wamewaua kikatili sana. Sina budi zaidi ya wewe kuwa atakaye peleka uchungu kwao”
Rose akaitupa glasi ya wine aliyo kuwa chini.
“Kabla ya kufanya hivyo unapaswa kujua jambo moja. Wine uliyo kuwa ina sumu ambayo baada ya dakika mbili zijazo ita kuua”
Rose akashtuka huku akihisi mwili wake kumlegea. Akajigusa puani na kuona damu zikianza kumchuruzika.
“Kwa nini nimekufa kizembe namna hii”
Rose akaanguka chini. James akachukua kichupa kidogo juu ya dreasing table.
“Hii ni antidote itakayo yaokoa maisha yako”
“Na….an…..aaomba unipatie”
Rose alizungumza kwa shida kwani tayari sumu imesha udhohofisha mwili wake. James akamsogelea alipo lala. Akamnywesha dawa ya kuondoa simu mwilini. Akamnyanyua Rose na kumlaza kitandani ajisikilizie afya yake.
“Imekuwaje ukanijua?”
Rose alimuuliza James kwa sauti kavu baada ya dakika arobaini kumalizika toka apewe sawa ya kumsaidia kuondoa sumu aliyo kunywa.
“Hakuna anaye ingianyumbani kwangu bila ya kutambua taarifa zake. Hivyo nilitamba taarifa zako wakati tu mulipo shuka kwenye gari. Taratibu Rose akaka kitandani, mwili wake ukiwa hauna nguvu.
“Mimi sio muuaji. Japo nina unda silaha ambazo hutumika kuuua watu”
“Kwa nini hujataka kuniau?”
“Hakuna sababu ya mimi kukuua wewe”
“Ina maana wewe hushrikiani na wazazi wako?”
“Mimi ni watofauti. Maisha yangu ni ya tofauti na hata moyo wangu ni watofauti.”
James akanyanyuka kwenye sofa alilo kali na akamfwata Rose kitandani alipo kaa.
“Katika maisha yangu nilisha wahi kuumizwa na mapenzi. Nikaamua kuwa malaya wa kutembea na kila aina ya wanawake. Ila siku nilipo iona picha yako nikajihisi kitu cha tofauti sana moyoni mwangu”
Rose akamtazama James kwa mshangao.
“Ndio Rose. Mimi sina kawaida ya wanawake kuingia ndani kwangu hapa na nisimshuhulikie. Ndio maana hata yule mwan amama dalali wa wanawake naye alishangaa leo nina mrudishia wanawake wake na kukuchukua wewe pekee”
“Sikukuchukua kwa sababu ya kutaka kukudhuru. Ila nimekuchukua kwa sababu nataka nikuambia yale yaliyo moyoni mwangu kuhusiana na wewe”
Rose akakaa kimya akimshangaa James.
“Rose una maisha na ndoto katoka maisha yako. Leo una weza kuelewa kwamba ulibakisha dakika chache kabla ya kila aina ya ndoto kwenye maisha yako kutoweka. Na zikeisha leo ndoto zako na historia ya maisha yako ingekufa leo. Yale yote uliyo yasomea South Korea leo hii yangebaki kama stori.”
“Nakuomba sana kwa sasa usimame na kuendeleza kile kilicho achwa na baba yako na mama yako. Una nafasi ya kufanya kapumzi zenu kukua kuliko kuwekeza nguvu kubwa kwa ajili ya kulipa kisasi ambacho leo hii maisha yako yangefikia mwisho”
Rose machozi yakaanza kumlenga lenga.
“Nje watu wengi huniona mimi kama sina akili nzuri na ni play boy ndio maana hata kwenye mambo makubwa ya kampuni zetu huwa sishirikishwi na anaye play part zote ni mdogo wangu Jack. Ila ukweli nina akili kubwa sana na muda mwengine sipendezwi na mienendo ya maisha ya familia yangu ila ndio nimesha zaliwa ndani ya hii familia”
James akamtazama Rose.
“Una taka nini kwangu?”
“Nataka nikuoe”
“Hahahaaaaa”
Rose akacheka sana.
“Kwa nini una cheka?”
“Kweli mtoto kutoka familia ya Tiger aje kunioa mtoto kutoka familia ya Chiko….Haijawahi kutokea”
“Ni kweli ila sisi tuna weza kubadilisha histori hiyo kutoka kuwa wapinzani hadi kuwa mke na mume”
“Kwenye maisha yangu sijapanga kuolewa na sihitaji kuwa mke wa mtu”
“Rose. Najua huna roho mbaya. Hata mimi sina roho mbaya. Tafadhali naomba ufikirie wazo langu”
“Nahitaji kuondoka”
Rose akashuka kitandani, akapepesuka kidogo ila James akamdaka.
“Naomba ufikiria nilicho kuambia”
“Sina cha kufikiria. Asante kwa kuto niua leo”
Rose akafungua mlango na akatoka chumbani kwa James. James naye akashuka na akamkuta Rose sebleni.
“Wakati mwengine tukikutana uadui uta endelea kati yetu na lolote lina weza kutokea”
“Sawa mke wangu mtarajiwa”
“Siwezi kuwa mkeo na isitoshe kiumri umenipita sana”
“Najua ila kwenye ndoa umri sio tatizo”
Rose akamtazama James kuanzia juu mpaka chini.
“Nyumba yangu ipo mbali na mji. Usafiri huku ni kipengele na ukiangalia sasa tayari giza limesha tanda. Una onaje nikakusindikiza na gari yangu”
“Hapana”
“Tafadhli. Sina bifu na wewe Rose”
Rose akashusha pumzi taratibu.
“Sawa”
“Nachukua funguo ya gari na kuvaa nguo”
James akapandisha gorofani, akavaa nguo haraka haraka na akarudi sebleni. Akamkuta Rose akimrubiria. Wakaingia ndani ya hari na kuondoka nyumbani kwa James. Kwa mara kadhaa Rose macho yake yana mtazama James.
‘Kuna nini ana kitaka kwangu huyu kaka. Alikuwa na uwezo wa kuniua kwa nini hajaniua?’
Rose aliendelea kijiuliza huku akimtazama Jamse na kukosa majibu ya maswali yake.
***
Mrs Tiger akakurupka kitandani. Akatazama nje ya tayari giza limetanda.
“Umeamkaje mpenzi wangu”
Dany alizungumza huku akinyanyuka kwenye sofa alilo kaa.
“Saa ngapi sasa hivi?”
“Saa nne usiku”
‘Fuc** ina maana…..”
Mrs Tiger akashuka kitandani. Akafungua pochi yake na akatoa simu yake. Hapakuwa na missed call yoyote. Akashusha pumzi taratibu.
“Niliona nisikusumbue baada ya kumaliza kipindi cha pili cha show”
Dany alizungumza akimshika Mrs Tiger mkono.
“Nahitaji kuondoka”
“Huitaji bao la tatu”
“Sina nguvu za kufanya mapenzi tena. Hamu yangu imeniiisha”
Mrs Tiger akaingia bafuni na Dany akamfwata kwa nyuma.
“Ngoja nikuogeshe”
Dany akafungua koki ya maji ya bomba la mvua. Maji yakaanza kumwagikia Mrs Tiger mwilini mwake. Jack akachukua sabuni ya maji na kuanza kumwagia Mrs Tiger sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsafisha.
“Una mwanamke?”
Swali la Mrs Tiger aliye mpa mngongo Dany, likamfanya Dany kumgeuza taratibu Mrs Tiger na akatazamana naye.
“Mwanamke sina. Ila nina fanya mapenzi kwa pesa”
“Kwa hiyo una nunuliwa kama nilivyo kununua?”
“Ndio ukweli wangu”
Dany alizungumza akiyatomasa maziwa ya Mrs Tiger taratibu.
“Sawa”
“Mbona kama una taka kuzungumza jambo”
“Umeujua uchi wangu wangu. Biashara yako ya kununuliwa na wanawake imeishia leo”
“Nitaishije mjini”
“Nita kuhudumia. Endapo nita sikia au nita jua una mwanamke mwengine unaye mtomb*** nita kata hizi pumb** zako na zitakuwa chakula cha mbwa wangu”
“Umeipenda show yangu?”
Mrs Tiger hakujibu chochote ila moyoni mwake ana furahia alicho pewa kwani amekofikishwa kileleni mara nyingi tena mfululizo mfulizo.
“Eti babe umependa show”
“Niogeshe nahitaji kuondoka”
Mrs Tiger hakutaka kuonyesha udhaifu wake mbele ya Dany kijana mdogo kiumri ambaye hata mwanaye wa mwisho Jack ni mkubwa kuliko Dany. Wakatoka bafuni mara baada ya kuoga. Mrs Tiger akaanza kuvaa nguo zake.
“Narudi nikisikia stori ya wewe kuonana na mimi mahala popote nita kuua.”
“Siwezi”
“Usiseme huwezi una marafikia au rafiki. Ukienda ukajisifia jua una yaweka reheni maisha yako na familia yako”
“Nakuahidi, kwa utamu wa kum** yako sinto muambia yoyote yule. Ukiona siri imevuja basi umkabe rafiki yako”
“Ni rafiki yangu na nina mjua vizuri hawezi kuongea ujinga huu”
“Sawa”
“Nitajie namba yako”
Dany akamtajia Mrs Tiger namba yake na akainakili kwenye simu.
“Mimi ndio nitakuwa nina kutafuta umenielewa?”
“Nakuelewa”
Mrs Tiger akatoa vibunda viwili.
“Dola elfu kumi najua hujawahi pewa pesa ndefu kama hii. Hivyo mbo** yako kuanzia hivi sasa mimi ndio mmiliki halali. Kula shiba, fanya mazoezi nitakuwa nina kuhitaji ninapo jisikia mimi”
“Sawa mpenzi. Asante sana”
Dany alizungumza furaha kwani kwenye maisha yake ya kujiuza kwa wanawake wenye uhitaji, kubwa aliyo wahi kulipwa ni milioni mbili za Kitanznaia ila leo hii ana lipwa dola za kimarekani elfu kumi tena kwa bao mbili tu zilizo mpagawisha Mrs Tiger.
“Nasisitiza tena Dany. Mimi ni mtu mbaya sana. Ukinizingua nita kuzingua unanielewa?”
“Nakuelewa madam”
“Sitanii”
“Sinto kuangusha nina tulia na wewe. Vipi usalmaa wangu kutoka kwa mume wangu”
“Usiri ndio uta kufanya uishi na mimi miaka mingi. Mume wangu ana watu kila mahala. Kila sehemu hivyo ukiongea neno moja kuhusiana na mimi lita mfikia na atakacho kufanya shauri yako”
“Sawa”
“Unatumia usafiri gani?”
“Mimi sina usafiri”
“Una maanisha?”
“Mara nyingi usafiri wangu ni pikipiki na bajaji. Bado maisha kwa upande wangu yapo kinyume sana. Kwani nimepanga room na seble tu. Bado nina jitafuta kimaisha”
Mrs Tiger akamtazama Dany.
“Nita fwatilia hayo unayo niambia nikigundua ni kweli basi nita kubadilishia maisha yako ila nikijua una nidanganya basi uta juti hii siku ya kwanza kuonana na mimi. Nina chukia uongo, sipendi uongo na simpendi mtu muongo. Unanielewa?”
“Nakuelewa”
Mrs Tiger akatoa shilingi laki moja na kumpatia Dany.
“Pesa hii utatumi kwenye usafiri. Ukitoka hapo nje uta tembea hadi barabarani kule japo kuna tisha tisha ila tembea wewe ni mwanaume. Ukifika uta panda boda”
“Naonba unipatie lifti”
“Gari yangu una kamera ndani. Mume wangu ana weza kuangalia kinacho endelea ndani ya gari langu hivyo sitaku kukuhatarishia maisha yako mapema kiasi hichi”
“Sawa. Asante”
Dany akaziweka pesa zake mfukoni mwa suruali yake na akaondoka nyumbani kwa Mrs Tiger huku Mrs Tiger akimfwatilia Dany kupitia juu ya gorofa jinsi anavyo katiza katika njia ya kuingilia katika nyumba hiyo ambapo njia hiyo hiyo imejaa miti mingi inayo fanya usiku patishe.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Japo ametembea na wanawake wengi ila moyo wa James umeangukia kwa mtoto wa adui wa fmailia yao Rose ambaye naye ana uadui na familia ya mzee Tiger. Je Rose ata kubaliana na ombi la James kumpenda na kutaka kumuoa? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 18.
Admini lete mavitu ayo... usisahau kupitia bia kwa mangi naja lipa
 
DEVIL’S FAMILY (FAMILIA YA MASHETANI) 21

ANGALIZO: KAMA UPO CHINI YA UMRI WA MIAKA 18. TAFADHALI USISOME HII HADITHI.
ILIPOISHIA
“Waooo una ofisi nzuri”
“Nashukuru”
James akawasha koo cha computer. Rose akaona picha yake akiwa na rafiki wa baba yake.
“Umeipata wapi hii picha?”
“Kwenye kumbukumbu zake. Mim ni mdukuzi nikihitaji taarifa za mtu kuzipata ni rahisi labda awe hajawahi kutimia vitu vya electronics kama simu na vitu vingine”
“Umemjuaje?”
“Baba yangu alinipa namba zake nipate taarifa zake.”
“Baba yako?”
“Ndio. Kabla sijamrudishia ripoti nikaona niongee na wewe. Una mfahamu vipi huyu mtu. Kwani picha yako imenishtua kukuona naye tena ukiwa na umri mdogo”
Rose akameza mate mengi huku akiwa njia panda kwani bado hamuamini James kwa asilimia mia moja kama kweli ana mpenda au yupo kwa ajili ya kumpeleleza.
ENDELEA
“Kwa nini unataka kwenda kinyume na baba yako?”
Swali la Rose likamfanya James kushusha pumzi taratibu.
“Kwa sababu nakupenda. Sitanii katika hili.”
James alizungumza huku taratibu akimsogelea Rose alipo kaa. Akamshika viganja vyake huku akimtazama machoni mwake.
“Nipo tayari kufanya chochote kwa ajili yako”
“James”
“Shii……nipe nafasi nikuonyeshe ni jinsi gani navyo kupenda. Tafadhali”
Rose akahisi joto la hisi likimpanda mwilini mwake, kwani ushikwaji wake wa viganja una mfanya asisimke mwili mzima.
“Huyo jamaa ni rafiki wa baba yangu. Una weza kusema wamekuwa ni kama ndugu kwani wamefahamiana na baba toka wakiwa shuleni. Na katok amiili yao kuna chip ndogo ambayo yeye na baba wanazo zina waonyesha nkila mahali ambapo wanakuwa wana kwenda. Hivyo signal ya mwisho ya baba ilionyesha alipotelea katika eneo lenu”
“Eneo letu?”
James alizungumza akimtazama Rose uson imwake.
“Ndio na eneo ni bwawa na katika uchunguzi wa satellite za NASA zina onyesha kuwa eneo alipo potelea baba ni katika bwawa la Mamba”
“MUNGU wangu!”
James akajishika kichwa. Mpango wa kukamatwa kwa mzee Chiko ana ufahamu ila mauaji yake hakuyashuhudia na hakujua ameuwawa vipi.
“Hivyo mimi na yeye tuna amini kwamba baba na kaka zangu watakuwa ni marehemu”
James akafumba macho yake.
“Una fahamu lolote juu ya hili?”
“Hapana”
“Niangalie machoni James”
James akatazamana na Rose.
“Haki ya MUNGU sifahamu lolote juu ya kilicho mpata baba yako na ndugu zako”
Rose akamtazama James kwa sekunde kadhaa.
“Nakuamini”
“Asante. Huyu mzee yupo ndani ya nchi?”
“Sijajua hadi sasa hivi ila nahisi yupo”
“Kama yupo muambie aondoke nchini haraka iwezekanavyo”
“Kwani amefanya nini?”
“Jana majira ya asubuhi kwenda mchana mdogo wangu Jack alishambuliwa na vikosi vya majambazi kwa bahati mbaya majambazi hao wote waliuwawa. Katika majambazi hao mmoja wao alikuwa naa tattoo inayo tumiwa na genge moja la wajambazi nchini Kenya. Baba alikwenda Kenya jana na amerejea na amenitumia hii namba. Inavyo onekana ni kwamba atakuwa amebaini na kujua mtu aliye toa kazi kwa majambazi hao ni huyu mzee”
“Duuu”
“Yaah kwa usalama wake tafadhali wasiliana naye na mueleze aondoke nchini.”
Rose akajifikiria kwa sekunde kadhaa.
“Ukia huku chini simu zinatoka?”
“Ndio”
“Ngoja nimpigie”
Rose akampigia simu rafiki wa baba yake. Kwa bahati nzuri simu ikaanza kuita.
“Shikamoo”
“Marahaa Rose. Habari ya asubuhi?”
“Salama una endeleaje?”
“MUNGU ana nipigania vipi mzima?”
“Ndio. Upo nchini?”
“Ndio bado nipo?”
“Nakuomba uondoke ndani ya nchi”
“Kwa nini?”
“Familia ya Tiger wamesha tambua umehusika katika shambulizi la lijana wake Jack lililo fanywa jana.”
Rafiki wa mzee Chiko akakurupuka kitandani kwani simu ya Rose ndio imemuamsha.
“Umesema?”
“Nimesema kwamba wametambua kuwa umehusika katika kumshambulia Jack….”
“Wewe umepata wapi hizi taarifa?”
“Una sahau nimesomea nini mzee wangu. Tafadhali nakuomba uondoke kwa maana taarifa zako wamezipata”
“Sawa sawa naeelekea ubalozini sasa hivi”
“Ubalozi gani?”
“Wa Marekani. Nita ondokea hapo”
“Sawa fanya hivyo”
“Nashukuru kwa hili. Umenifanyia kitu kikubwa sana sinto sahau huu msaada wako”
“Nashukuru”
Rose akakata simu.
“Amefanya kweli”
“Kwa nini alimshambulia Jack?”
“Sijui kwa nini ila nahisi itakuwa ni katika harakati za kulipa kisasi”
“Duuu aondoke kwani baba yangu akimpata hato muacha salama hususani anapo kuwa ndani ya hii nchi”
“Naweza kukuuliza kitu?”
“Niulize”
“Nguvu yote hii baba yako ana ipatia wapi?”
“Biashara zetu zimekuwa ni kizazi hadi kizazi. Viongozi wengi wamewekwa katika nafasi zao kwa nguvu ya pesa ya familia yangu. Tuna mikataba mingi na serikali ikiwemo kuwauzia silaha, kutengeneza mifumo ya kisasa ya kiulinzi. Kuweka tenkonolojia kubwa katika mahospitali na pia kusambaza internet yenye nguvu katika ofisi za kiserikali ambayo internet hiyo haifanani na internet hizi watumiazo watu wengine za makampuni wengine. Hivyo una weza kuona kuwa asilimia kubwa familia ina nguvu”
“Sawa. Nashukuru kwa msaada ulio nipatia”
“Fuc**”
James alizungumza akitazama gari tatu zinazo ingia katika geti la nyumba yake.
“Ni nani?”
Rose aliuliza akitazama gari hizo zionao onekana kwenye moja ya tv.
“Ni baba”
“MUNGU wangu akinikuta hapa?”
“Ahahaa….nifwate”
Wakatoka ndani ya ofisi ya James na akampeleka Rose hadi chumbani kwake.
“Usitoke humu”
“Hato ingia?”
Rose alizungumza akiwa amejawa na wasiwasi.
“Hawezi kuja chumbani kwangu kuwa na amani”
James akatoka chumbani kwake, akashuka gorofani na kutoka nje. Akamuona baba yake akitazama gari ya Rose.
“Baba shikamoo”
“Marahaba….Gari ya nani hii?”
“Ahaa…kuna rafiki yangu mmoja ameniazima gari yangu. Ameacha gari yake hapa”
“Sijajua kama una marafiki?”
“Wapo”
Mzee Tiger akatangulia ndani huku James akimfwata kwa nyuma na walinzi wake wakabaki kwa nje.
“Kazi niliyo kupatia umeifanya?”
“Ndio naendelea kuifanya?”
“Ulikuwa na ishu gani kwa maana nikajua umeimaliza?”
“Ahaa….kuna mambo nilikuwa nina yamalizia mzee”
“Kalete laptop yako uje kuifanya nikiona kwa maana huyo mshenzi ndio aliye husika kupanga kumuua mdogo wako na kutaka kuniua na mimi?”
“Wewe!?”
“Ndio alilipa watu kwa ajili ya kuniua mimi hivyo nataka kumfamu. Nimejaribu kulala ila usingizi haujakuja kabisa”
“Sawa baba”
“Nataka tumshuhulikie popote alipo mahitaji kufahamu”
“Sawa mzee”
Mzee Tiger alizungumza na kumfanya James kunyanyuka alipo kaa. Akapandisha ngazi na kuelekea gorofani. Akaingia chumbani kwake na kumfanya Rose aliye kaa kwenye moja ya sofa kunyanyuka, akiwa na wasiwasi.
“Kimetokea nini?”
“Amekuja kufwata taarifa za yule rafiki wa baba yako na kitu kingine alipanga kumuua mzee”
“Duuu…!! Sasa utafanya nini mpenzi?”
James akachukua laptop yake juu ya meza.
“Amefikia wapi?”
“Sijui”
“Daaaa….”
“Tafadhali naomba usimuonyeshe picha yangu na yeye”
“Siwezi kufanya hivyo”
“Najua una weza kumsaidia. Naomba umsaidie”
“Sawa”
James akatembea hadi mlangoni. Kwa haraka Rose akimbilia na akamshika mkono kitendo cha James kugeuka akakutana na busu zito kutoka kwa Rose. Denda la Rose likazidi kumpagawisha James.
“Nakupenda James”
“Nakupenda pia Rose”
Wakanyonyana tena denda na James akatoka ndani kwake. Akafika sebleni na akamkuta baba yake akinywa mvinyo taratibu.
“Aliye taka kukuua imekuwaje?”
James aliuliza huku akifunua laptop yake na akaipakata mapajani.
“Sheria ni rahisi, mtu akitaka kukuua na ukajua ana mpangowa kukuua na wewe una mshuhulikia hata kabla hajakushuhulikia. Hivyo nimemshuhulikia. Sasa ni zamu ya huyo boss wao”
James akaendelea kuminya minya batani za laptop yake.
“Una ishije hapa?”
“Kivipi mzee?”
“Unakaaje kaaje peke yako. Au bado una endelea kuleta wanawake zako kama kawaida?”
“Ndoa ya dogo ni kama imenifumbua macho. Na mimi nafikiria walau nipate mwanamke wa kuoa niwe na watoto hata wawili wana nitosha”
“Huo ndio uwanaume. Kuwa mwanaume sio kufanya mapenzi. Kuwa mwanaume ni kuhakikisha una kuwa na familia yako na una ihudumia. Hata ikitokea umeachaa na mzazi mwenzako ila hakikisha kwamba una muhudumia wanao”
“Ni kweli baba”
“Sio kweli ndio uchangamke. Usiwe mjinga mjinga. Umri wako una kukimbia. Ulipaswa kuwa na watoto wanao soma hata sekondari hivi sasa”
James akashusha pumzi na kuendelea kufanya kazi ambayo tayari amesha ifanya. Mzee Tiger akanywa mvinyo na akanyanyuka akiwa ameshika glasi yake. Akatembea hadi kwenye picha kubwa iliyopo ukutani ikiionyesha familia nzima.
“Kuna jambo una paswa kulifahamu”
Mzee Tiger alizungumza na kumgeukia James.
“Jambo gani?”
“Umri wangu wa kuishi umebaki mchache sana”
“Mchache kivipi?”
Akarudi alipo kaa.
“Nilisha mueleza Jack juzi na wewe kama kama mkubwa wa familia una paswa kufahamu.”
“Ni nini hicho baba”
“Nipatie taarifa kwanza za niliye kuomba nita kuambia”
Mzee Tiger akanywa mvinyo wake.
“Huyu hapa…..Anaitwa Raphael Ngoma”
James akamuonyesha baba yake picha ya rafiki wa mzee Chiko.
“Huyu mpuuzi yu hai?”
“Kwani una mfahamu?”
“Ndio ni rafiki wa Chiko. Miaka mitano iliyo pita alikufa katika ajali ya gari nchini India. Ina wezekanaje akawa hai”
James akajawa na mshangao.
“Ni rafiki wa Chiko. Ina wezekana ali fake habari ya kifo chake”
“Ina wezekana”
“Kwa hiyo jamaa amepanga kuniua mimi na wanangu si ndio?”
Mzee Tiger alizungumza kwa kukasirika. Akakohoa kidogo, akatoa kitambaa mfukoni mwake na akajizuia mdomoni mwake.
“Upo sawa mzee?”
James akamtazama baba yake anaye tazama makoozi yenye damu yaliyo baki kwenye kitambaa.
“Ndio”
Mzee Tiger akaweka kitambaa mfukoni mwake.
“Ameleta upuuzi kama alio uleta rafiki yake. Kame amekufa basi ata kufa mazima”
Mzee Tiger akakaa kwenye sofa. Akamalizia mvinyo wake kwenye glasi.
“Ulimaanisha nini ulipo sema una umri mchache sana wa kuishi?”
“Kwa sababu nina saratani?”
“NINI?”
James aliuliza kwa mshangao.
“Ndio na mdogo wako sikutaka kumuondolea mood yake ya harusi ila nimebakisha miezi kadhaa ya kuishi. Saratani yangu ipo hatua ya tatu na siwezi kupona tena”
“Baba siku zote kwa nini hukutuambia?”
“Kwa sababu nilihitaji kuwapa presha. Najua haupo sana kwenye maswala ya biashara za familia zaidi ya kushuhulika na kampuni ya teknolojia. Ila waangalie wadogo zako. Hususasi Sophia”
“Sophia. Ana nini?”
“Sophia ana mahusiano ya kimapenzi na wifi yake Valentina”
“NINI….Ina maana yule binti ni msagaji?”
“Ndio. Mimi na mama yako tuna fahamu hilo na tumelifahamu hilo akiwa tayari amesha tambulishwa na Jack na kama unavyo mfahamu mdogo wako ni mtu ambaye akisha taka chake basi ana kitaka na hashauriki hivyo tume mficha hilo jambo. Nataka nimalizane na huyu mshenzi alieye taka kutua. Baada ya hapo nina amini nita pumzika kwa amani.”
Mzee Tiger akanyanyuka.
“Ila saratani ina weza kupona”
James alizungumza akimtazama baba yake. Mzee Tiger akatabasamu huku akimtazama James usoni mwake.
“Hakuna kitu hakam hicho”
“Ni kweli baba ina weza kupona”
“Kwa dawa gani ina ponyesha saratani daraja la tatu”
“Mimi ninayo hiyo dawa”
James alizungumza kwa kujiamini na kumfanya baba yake kumtazama kwa mshangao kwani huwa ana tambua kwamba James ni mgunduzi wa vitu vingi vya teknolojia ila hajawahi kujua kama ana weza kugundua dawa tena ya saratani.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Je ni kweli Rose ameufungua moyo wake kuanzisha penzi na James mtoto wa adui tena aliye muulia baba yake na kaka zake? Dawa ya saratani aliyo igundua James je ita msaidia baba yake.? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 22.
 
DEVIL’S FAMILY (FAMILIA YA MASHETANI) 22

ILIPOISHIA
“Ndio. Mimi na mama yako tuna fahamu hilo na tumelifahamu hilo akiwa tayari amesha tambulishwa na Jack na kama unavyo mfahamu mdogo wako ni mtu ambaye akisha taka chake basi ana kitaka na hashauriki hivyo tume mficha hilo jambo. Nataka nimalizane na huyu mshenzi alieye taka kutua. Baada ya hapo nina amini nita pumzika kwa amani.”
Mzee Tiger akanyanyuka.
“Ila saratani ina weza kupona”
James alizungumza akimtazama baba yake. Mzee Tiger akatabasamu huku akimtazama James usoni mwake.
“Hakuna kitu hakam hicho”
“Ni kweli baba ina weza kupona”
“Kwa dawa gani ina ponyesha saratani daraja la tatu”
“Mimi ninayo hiyo dawa”
James alizungumza kwa kujiamini na kumfanya baba yake kumtazama kwa mshangao kwani huwa ana tambua kwamba James ni mgunduzi wa vitu vingi vya teknolojia ila hajawahi kujua kama ana weza kugundua dawa tena ya saratani.

ENDELEA
“Toka lini umekuwa daktari?”
“Ugunduzi wa vitu sio lazima uwe daktari baba. Kesho tukutane ofisini nifanye majaribio”
“Una wazimu James majaribio ufanye kwennye mwili wangu. Nikajua ni dawa ambayo umesha jaribu wagonjwa kadhaa.”
“Sio dawa ya kunywa baba. Ila ni chip nina iweka kwenye mwili wako. Chip hiyo itakwenda kuponyo maeneo yote yaliyo athiriwa na saratani”
“Ina tumia nini?”
“Mionzi ambayo haina madhara kwa mwili wa binadamu”
Mzee Tiger akamtazama James.
“Niamini baba ni project niliyo ifanya kwa miaka minne hivi sasa”
“Sawa ni hapo kesho. Ila utafute mgonjwa kwanza wa saratani uanze kumfanyia majaribio yeye”
“Najua una weza kuwapata. Walete wawili tuwafanyie majaribio”
“Nita zungumza na madaktari ninao wafahamu tujue tuna fanya nini”
“Sawa baba. Huyo jamaa uta mfanya nini?”
“Hana chaguo jengine ata pata haki kama aliyo pata rafiki yake”
Mzee Tiger akaanza kutembea kuelekea mlangoni. James akamfwata kwa nyuma na wakatoka nje.
“Kesho saa ngapi?”
“Hata saa nne?”
“Sawa”
Mzee Tiger akalitazama gari la Rose kisha akaingia ndani ya gari na walinzi wake.
“Hembu nichekieni hiyo gari imesajiliwa kwa jina gani?”
“Sawa mkuu”
James akatazama jinsi gari za baba yake zinavyo ondoka. Akashusha pumzi nyingi. Kwa haraka akakimbilia chumbani kwake.
“Mpigie yule mzee jua kafika wapi”
“Sawa kwani imekuwaje?”
“Baba ana mjua vizuri ni rafiki wa baba yako. Mpigie ujue kafika wapi”
Rose akampigia simu rafiki wa baba yake.
“Hapatikani”
“Hapatikani?”
“Ndio”
“Ina wezakana akawa amezima simu na kuitupa”
“Labda”
Rose akasuhsha pumzi nyingi.
“Kuwa na amani”
“Mmmmm. Naomba niondoke asije akarudi”
“Kuwa na amani Rose. Relax…..”
Rose akaka akitandani akitafakari ni nini cha kufanya. James akavishika viganja vya Rose akimtazama usoni mwake.
“Nakupenda Rose. Sijawahi kuenenda kinyume na baba yangu siku hata moja ila leo kwa mara ya kwanza nimemsaliti”
James alizungumza kwa sauti ya upole
“Nimeona James. Nashindwa nizungumze nini?”
“Huna cha kuzungumza”
Taratibu James akausogelea mdomo wa Rose na akaanza kumnyonya denda, viganja vya James vikaendelea kufanya utalii katika mwili wa Rose.
“Stop stop James”
Rose alimzuia James kuingiza vidole vyake eneo kilipo kitumbua chake.
“Nini tatizo mpenzi”
“Hatujuani afya. Naomba kama huto jali tukapime pamoja tujuane afya zetu. Tujue blood type zetu ili hapo baadae tusije tukapata changamoto katika uzazi”
“Ila kweli unacho kizungumza. Sawa sina tatizo na hilo, ni wewe kusema ni hospitali gani ambayo unataka twende tukapime. Nisije nikachagua mimi hospitali kisha ukasema matokea yamekuwa ni ya kupima”
“Mmmmm nita kuambia ukiamua kwenda kupima afya namimi”
“Hata hivi sasa nipo tayari”
“Un auhakika?”
“Asilimia mia moja nipo tayari. Nikisema nina kupenda, jua kuwa nina maanisha nina kupenda kweli”
“Sawa tuna tumia gari langu au lako?”
“Tutumie gari lako”
“Sawa. Ngoja nijisafishe kwa maana nimesha lowa kum**”
Rose akaelekea bafuni huku James akibadilisha nguo.
“Nipo vizuri now”
Rose alizungunza na hawakuwa na muda wa kupoteza, wakatoka nje na kuondoka.
***
“Leo una furaha sana madama”
Mfanyakazi mkuu, mama wa makamo katika makazi ya familia ya Tiger alizungumza akimuandalia juis na biskuti Mr Tiger.
“MUNGU akikutendea mema siku zote furaha hukuandama nawe”
“Ni kweli?”
“Harusi ya Jack ndio ilikuwa ina niumiza sana kichwa kwa maandalizi yake”
“Kusema kweli sherehe imependeza umejitahidi sana boss”
“Asante sana”
“Sawa mimi nina endelea na majukumu”
“Nashukuru sana”
Mtumishi mkuu ambaye husimamia wafanyakazi wote wa ndani akaondoka. Mrs Tiger akaonja juisi kidogo na akatingisha kichwa kwa utamu alio upata.
‘Dany Dany……..daaa umenipa kitu ambacho sijawhai kupewa toka nimevunja ungo. Natamani hata leo nikuone ila mume wangu yupo…..Nisije nikajichanganya mwanzo mwanzo nisiije kufaidi utamu’
Mrs Tiger aliwaza akilini mwake, huku macho yake yakiwa baharini, eneo alilo kaa lina muwezesha kuiona bahari vizuri.
‘Ila nyie kuna wanaume wana jua kukunja wanawake…..Kha……na umri wangu huu jana nimelizwa machozi na mtoto mdogo kama Dany….aisee hapana’
Mrs Tiger akatabasamu. Simu yake ikaanza kuita na kumtoa kwenye dimbwi la mawazo. Akashusha pumzi taratibu akipokea video call hiyo.
“Mama shikamoo”
“Marahaba….Ina manaa hadi hii saa sita bado mumelala?”
“Jana tulikesha club mama, mkweo huyu hapa”
“Mama shikamoo”
“Marahaba. Dubai imewagharisha au ni filter”
“Haahaaa itakuwa filter ya simu”
Valentina alizungumza akitabasamu.
“Ila nyinyi watoto mumependezana sana”
“Kweli mama?”
“Ndio MUNGU azidi kuwafungulia milango ya baraka”
“Amen mama. Vipi mzee amerudi?”
“Ndio amerudi japo ametoka kuna mambo yake ana yafwatilia.”
“Sawa mama. Baadae”
“Nanyi pia”
Jack akaka simu yake na akaiweka pembeni.
“Leo tuna ratiba gani mume wangu?”
“Nataka kwenda town kuna vitu bro aliniomba nimchukulie hivyo nataka niende leo nikiwa mwili umechangamka changamka. Nikisha anza kula bata nina weza nikajisahau”
“Oooo sawa mume wangu. Nenda na Vaileth akauone one mji”
“Mmmm”
“Mbona una guna mume wangu”
“Ni mdogo wako kwa nini nika dhurure naye?”
“Jamani mume wangu una taka kusema nisikuamini na mdogo wangu….? Nakuamini huwezi kufanya chochote kwake. Wewe sio wanaume wenye tamaa na wananawake tena hususani kama mdogo wangu”
Valentina alizungumza kwa sauti ya unyenyekevu.
‘Laiti ungejua nimetoka kumla mdogo wako usinge niambia hayo maneno ya kunipamba’
“Sasa mwenyewe ata taka kwenda?”
“Nita muuliza”
“Kamuulize ili nijue napangilia vipi mizunguko yangu.”
“Sawa mume wangu”
“Ila nitarudi usiku”
“Sawa leo tuta pumzika hapa na wifi kwa maana zile pombe za jana zina nifanya mwili mzima una uma”
“Poa kamuulize”
Valentina akashuka kitandani akia uchi. Akachukua ngo kabatini, akavaa na akatoka sebleni. Akamkuta Sophia ana tazama tv huku akinywa supu kwenye kibakuli.
“Wifi shikamoo”
“Marahaba….Kalala?”
“Ameamka”
“Wamesha tuletea kifungua kinywa. Nimekula mimewaachia chakula chenu. Mimi nashushia supu hapa”
“Supu ya nini?”
“Nyama ya ng’ombe. Halafu tamu balaa”
“Huyu dogo kalala?”
“Itakuwa”
Valentina akaingia chumbani kwa Vaileth na akamkuta ana cheza game kwenye simu yake.
“Shikamoo”
“Marahaba. Una endeleaje?”
“Safi tu. Vipi ninyi mumeamkaje?”
“Tumeamka poa. Sasa naomba unisaidie jambo moja”
“Jambo gani sister?”
Valentina akashusha pumzi taratibu.
“Shemeji yako ana taka kutoka leo na kwenda mjini. Kuna vitu ana taka kwenda kununua naomba uende naye ukampe kampani”
“Unataka nikampe kamapani au ubaki na Sophi”
“Una elewa mdogo wangu. Yaani sijielewi na hizi pombe nilizo kunywa ndio nazidi kuchanganyikiwa mwenzio”
“Sawa ata kubali?”
“Yeye ndio ameniagiza nije kukuuliza wewe kama uta kubali”
“Sawa japo nilikuwa sijisikii kutoka”
“Naomba unisaidie please”
“Sawa. Nita kushtua tukiwa tuna rudi”
“Nakupendea hilo mdogo wangu asante”
Valentina akambusu Vaileth mdomoni kwa furaha, akanyanyuka na kutoka chumbani humo.
‘Kuna watu wana bahati wana olewa, ila sisi tusio na bahati tuna ishia kuwa michepuko. Nita beba mimba ya mumeo kwa ujinga wako sister’
Vaileth akalijiapiza moyoni mwake.
“Dogo na mume wangu wana kwenda mjini. Nimekumiss sana mpenzi wangu”
Valentina alimong’oneza Sophia.
“Kweli?”
“Ndio”
“Nipe tano”
Wakapeana tano. Valentina akarudi chumbani kwake. Akamkuta James akiwa bafuni ana oga. Akavua nguo zake na akaingia bafuni.
“Babe”
“Naam”
“Dogo amekubali.”
“Sawa mpenzi. Vipi nikupe mechi au umechoka?”
“Usiku mume wangu uta nifaidi hadi uchoke.”
“Sawa”
***
“Karibuni tena”
Daktari alizungumza huku akiwatazama Rose na James walio ingia ofisini kwa daktari kupokea majibu ya vipimo vya Ukimwi walivyo pima.
“Asante.”
Rose aliitikia huku James akiwa kimya kwani kumbukumbu za stare za wanawake alio fanya nao mapenzi zina endelea kumrudia kichwani mwake.
‘Natamani nikimbie aisee…..Ujinga wa mapenzi umenifanya niwe kwenye hiki kikaango’
James aliwaza akilini mwake.
“Mr James upo nasi?”
“Ndio dokata nipo”
“Mbona una wasiwasi mume wangu?”
“Hapana nipo sawa kabisa”
“Sawa majibu yetu yapo tayari.”
James akameza mate mengi kwani hospitali aliyo fika na Rose ni hospitali ambayo hajawahi kuingia siku hata moja na hata madakatri hafahamiani nao.
“Tuanze na majibu yapi ya blood group au HIV?”
“HIV”
‘Huyu mwanamke kanipangia shari ehee?’
James aliwaza akilini mwake, huku mwili wake ukihisi joto kali japo ndani ya ofisi hiyo kuna upepo wa AC.
“Sawa tuanze ya mume au mke?”
“Yoyote tu dokta”
Rose alizungumza akiwa na tabasamu pana usoni mwake.
“Bi Rose, vipimo vina onyesha hauna maambukizi ya virusi vya ukimwi. Maana yake upo Negativ”
James macho yakamtoka akimtazama daktari.
“Mr Jmaes”
“Ndio dokta”
‘Daa kama nimeathirika ina maana huyu mtoto mzuri hapa simpati tena. James nimejichanganyaje mimi masikini ya MUNGU……Da….aa….a…’
James aliwaza huku akiwa haelewi ni majibu gani ambayo daktari ata mpatia na kila anapo kumbuka amefanya mapenzi na zaidi ya wanawake mia tatu akili yake ina zidi kumvuruga.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Upendo wa James kwa Rose sasa una mtokea puani. Maamuzi yake ya kukubali kwenda kupima afya na Rose yamemuweka katika wakati mgumu je ni majibu gani atakayo kutana nayo? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 23.
 
Back
Top Bottom