Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,396
- 18,203
Safi
DEVIL’S FAMILY(FAMILIA YA MASHETANI) 49
KILA KILICHO ANDIKWA KATIKA HADITHI HII NI UTUNZI HAKIENDANI NA KISA CHOCHOTE KILICHO WAHI KUTOKEA MAHALA POPOTE ASANTE
*************************************************************************************
ILIPOISHIA
“So ukinitomb*** kiwanda changu kita rudi kuwa upya…..Sio?”
Mrs Tiger alimuuliza Dany huku macho yakiwa makavu.
“Hapana mpenzi, najua nita kusahaulisha japo kwa muda haya mawazo unayo yapitia hivi sasa. Nipe nafasi ya mimi kufanya hivyo. Tafadhali mpenzi wangu”
Dany akaanza kuyatomasa maziwa ya Mrs Tiger, taratibu akaanza kumnonya shingo huku vidole vya mkono wake wa kulia akivishusha katika kitumba cha Mrs Tiger na kuanza kukifikicha taratibu.
‘Huyu mpuuzi ni tatizo’
Mrs Tiger alizungumza huku akimtazama Dany anaye jishuhulisha.
“Ngoja nikae kwenye sofa”
Mrs Tiger akaka kwenye sofa huku pochi yake ikiwa pembeni. Dany akapiga magoti mbele yake, akapanua miguu na taratibu akaanza kuinyonya kum** ya Mrs Tiger. Mrs Tiger akamtazama Dany kwa sekudne kadhaa, akatoa bastola ndani ya pochi yake. Bila ya kujiuliza mara mbili, akampiga risasi ya kichwa Dany na akafa hapo hapo.
ENDELEA
“Fu***”
Mrs Tiger alizungumza huku akili yake ikimkaa sawa. Akanyanyuka na kuuruka mwili wa Dany ambao una endelea kuvuja damu. Akaitafuta moja ya namba katika simu yake.
“Boss”
“Nakutumia location uje kufanya usafi nilipo”
“Sawa boss”
Mrs Tiger akatuma ramani ya eneo alipo.
“Tatizo Dany umeshindwa kusoma alama za nyakati wewe…..Wengine akili zetu zikisha jaa hatupendi huu ujinga”
Mrs Tiger alizugumza mwenyewe. Akaingia bafuni na akaanza kuoga taratibu. Akamaliza kuoga na akavaa nguo zake. Akaaa kitandani kusubiria alio watuma kuja kufanya usafi. Honi ya geti getini ikamfanya kuchukua remote ya tv akaiwasha tv iliyopo ukutani, akaona gari la kampuni ya usafi, akafungua geti kwa kutumia simu yake na gari likaingia ndani geti likajifunga. Akatoka nje na akasalimian ana wanume wanne wanne anao fahamiana nao vyema.
“Karibuni sana”
“Asante sana boss. Uchafu ni mkubwa sana”
“Sio sana”
Mrs Tiger akatangulia ndani na wakaingia hadi chumbani huku wanaume hao wakiwa wamebeba vifaa vya kufanyia usafi.
“Alikuwa ana fanya nini?”
“Alijifanya ana jua sama mapenzi ikiwa kichwa changu kimesha pata moto. Nimemsindikiza kuzimu huko akawe fundi wa kunyonya kum** za kuzimu”
Mrs Tiger akampatia kiongozi wa wafanya usafi kubinda cha fedha la kimarekeni.
“Dola elfu kumi. Hakikisheni kila kitu chake kina potea ikiwemo simu yake hiyo location ya mwisho isome katikati ya jiji kisha ipotee”
“Usijali boss”
“Naondoka?”
“Tuna ifunga na nini nyumba?”
“Nyumba yangu ni smart house hivyo mukisha ondoka kila kitu kita ji lock”
“Sawa”
Mrs Tiger akatoka nje, akaingia ndani ya gari lake na kuondoka kuelekea nyumbani kwake.
***
“Mume wangu pole kwa kazi”
Valetina akamkumbatia Jack mara baada ya kuingia ndani.
“Asante. Mama yupo wapi?”
“Hajarudi”
“Mbona gari zake zipo hapo nje na walinzi wake wapo?”
“Wamesema walimuacha ofisini”
“Sister?”
“Amekwenda Mlimani City kuna vitu vyake amekwenda kununu”
“Amekwenda na nani?”
“Mwenyewe”
“Mpigie simu muambie arudi”
Jack akaelekea moja kwa moja chumbani kwake huku Valentina akimfwata kwa nyuma.
“Ngoja nikuvue”
Valentina alizungumza na akamvua Jack nguo zake.
“Hapa kwenye paja mbona una alama?”
Jack akajitazama eneo la paja laka lake ambapo ndipo sindano ya sumu iliingia.
“Nilijigonga”
Jack akaingia bafuni. Valentina akampigia simu Sophia.
‘Ina maana nimeshindwa kumfahamu aliye taka kuniua?’
Jack aliendelea kuwaza akilini mwake.
‘Ni nani ambaye ana husika katika mpango wa kutaka kuniua na amelipua kiwanda?”
Jack aliwaza huku msongo wa mawazo ukiwa ni mwingi akilini mwake. Valentina akaingia bafuni.
“Wifi yupo njiani ana rudi”
“Sawa”
“Poleni kwa kupoteza wafanyakazi wengi mume wangu”
“Asante”
“Mwili wako mbona wa moto”
Valentina alizungumza huku amimshika shika Jack shingoni mwake.
“Sijisikii sawa ni uchovu”
“Ngoja nikuogeshe”
Valentina akaendelea kumuogoesha Jack hadi akamaliza. Wakatoka bafuni, akamfuta maji na Jack akakaa kitandani.
“Wale madakari wameondoka?”
“Wapo wawili chumbani kwa mzee”
“Kamuite mmoja. Nitolee pensi”
Valentina akamletea Jack pesi na akavaa. Valentina akaelekea chumba alicho lazwa mzee Tiger. Akazungumza na daktari mmoja na akaelekea naye chumbani alipo Jack.
“Ndio boss”
“Ahaa nahitaji nifanyiwe vipimo vya damu.”
Mlango ukafunguliwa na mrs Tiger akaingia.
“Vipi unajisikiaje mwanangu?”
Mrs Tiger alizungumza akiwa amejawa na wasiwasi, akamshika Jack.
“Wa moto sana”
“Ngoja nikachukue vipimo nije kukupima mkuu”
“Sawa”
Daktari akatoka chumbani hapo.
“Antidote haijafanya kazi?”
“Kama isinge fanya kazi hivi sasa ningekuwa marehemu”
“Ngoja kwanza. Mume wangu una nini?”
“Kuna mtu alinichoma sindano ya sumu”
“MUNGU wangu ilikuwaje?”
“Usiwe na wasiwasi mke wangu”
Madaktari wawili wakaingia wakiwa na vibegi vyenye mashine za vipimo. Jack akatolewa kiasi cha damu mwilini mwake, ikaweka kwatika kipimo maalumu na kuanza kupimwa.
Sophia akaingia ndani ya chumba.
“Dogo vipi?”
“Kuna mjinga amenichoma sindano ya sumu”
“Una jisikiaje?”
“Kwa sasa sijisikii poa kivile”
Jack alizungumza huku akihisi nguvu za mwili zikimuishia. Mrs Tiger akawatazama madaktari wanao jadiliana wakitazama mashine inayo soma damu ya Jack.
“Kuna nin?”
“Simu aliyo chomwa ni kali sana na hata antidote imemsaidia kuipunguza makali yake ila sio kuitoa mwilini mwake”
“Najihisi vibaya”
Jack alizungumza huku mapigo yake ya moyo yakiongeza kasi ya kudunda.
“Dokta ana tokwa na jasho”
Valentina alizungumza huku akimtazama mume wake.
“Kwa hiyo tuna fanyaje?”
“Ina bidi tumuwahishe hospitalini”
“Kawaite walinzi……Haraka”
Mrs Tiger alizungumza akihisi kuchanganyikiwa. Akawapigia marubani wa helicopter yao.
“Andaeni helicopter mwanangu ana pelekwa hospitalini”
“Sawa madam”
“Kwa hiyo tuna fanyeje?”
Mrs Tiger alizungumza akihisi kuchnagnyikiwa.
“Nashindwa kupu….mu…..a”
Jack alilalama.
“Kalete oxygen ya dharura”
Daktari mmoja akatoka kwa kukimbia huku akipishana na walinzi wanne wakiwa na Sophia.
“Wasubirie tumuwekee oxygen kwanza”
“Naye kaenda kuchukua wapii…..Ohooo jamani mwanangu”
Mrs Tiger alizungumza kwa hasira. Daktari akarudi akiwa na oxygen ya dharura. Wakamuwekea Jack puani mwake.
“Hamna machelea ya kumbeba?”
Daktari mmoja alizungumza akimtazama Jack ambaye tayari amehsa ya fumba macho yake.
“Tuna weza kumbeba hivi hivi bila ya machela”
Mlinzi mmoja alizungumza. Wakambeba Jack kwa umakini, wakaamtoa ndani na wakamkimbiza hadi ilipo helicopter ya familia ya mzee Tiger. Mrs Tiger, daktari mmoja, Valentina na walinzi wawili wakaingia ndani ya helicopter na kuondoka nyumbani kwa mzee Tiger.
***
“Moyo wangu mbona hauna amani”
“Kwa nini mume wangu?”
“Sijui ila nina poteza amani”
“Labda ni kwa sababu ya kiwanda kuchomwa au Jack kushambuliwa kwa kuchomwa sindnao ya sumu?”
“Hata sijui”
Simu ya James ikaita, akatazama na kwenye kioo cha simu na kuona jina la Sophia. Kwa haraka akaipokea.
“Bro upo wapi?”
“Nipo kwa wife vipi?”
“Dogo asiee hali yake mbaya umebadilika galfa na sasa hivi naelekea hospitalini”
“Jack?”
“Ndio sijui kachimwa sindano ya sumu”
“Hospitali gani?”
Sophia akamtajia James jina la hospitali aliyo kimbiwa Jack.
“Nakuja”
James akakata simu.
“Jack kakimbizwa hospitali. Sindano ya sumu aliyo chomwa imemletea madhara”
“MUNGU wangu. Twende”
James na Rose hawakuwa na muda wa kupoteza, wakaianza safari ya kuelekea hospitalini huku James akiendesha gari kwa mwendo wa kasi.
‘Ni nani huyo ana nilipizia kisasi bila ya mimi kushuhulika?’
Rose aliwaza akilini mwake kwani watesi wake wana tesaka kabla hata ya yeye kuanza kuwatesa.
“Kama wamemshambulia dogo basi familia nzima ipo kwenye hatari”
James alizungumza, akipunguza mwendo huku huku akitaka kulipita gari lililopo mbele yake.
“Kwani mume wangu muna maadui wangapi?
“Kwenye hii familia?”
“Ndio”
“Wengi tu.”
“Mmm......!”
“Yaani mzee alijenga maadui wengi ambao wamesha sikia amelala basi wana jaribu kujiinua mmoja baada ya mwengine. Kwa hili walilo lifanya ni pigo kubwa sana na tusipo kuwa makini lita tuathiri hadi wake zetu”
“Mmmmmm”
“Ndio hivyo mpenzi. Karibu kwenye familia hii.”
James akapata nafasi ya kuzipita gari nne zilizopo mbele yao na akaendelea na safari kwa mwendo wa kasi. Wakafika hospitalini na moja kwa moja wakaulizia wodi ambayo amefikishwa. Wakaelekezwa na nesi, wakaingia ndani ya lift na wakaelekea hadi katika chumba cha matibabu anayo patiwa Jack.
“Madaktari wana semeje?”
James alimuuliza mama yake ambaye macho yamemvimba kwa kulia.
“Sijuiii sijuiii”
Mrs Tiger alilia kwa uchungu. Valentina na Sophia wamekaa kwenye benchi huku Sophia akimbembeleza Valentina.
“Ni mpuuzi gani ana taka kuniulia mwanangu eheee?”
Mrs Tiger alizungumza kwa uchungu kana kwamba Dany aliye toka kumuua ni mtoto wa panya na hana thamani yoyote katika maisha ya wana familia wake.
“James mwanangu. Tumia uwezo wako wa IT kujua ni nani amehusika”
“Najitahidi mama”
“Nakuomba nipo chini ya miguu yako.”
“Mama nina lishuhulikia hilo”
Jame akamuona Chris akifika eneo walipo. Mrs Tiger akanyanyuka na kumfwata Chris alipo, akamzaba kofi la shavuni.
“Jukumu lako kwa mwanangu ni nini eheee?”
Mrs Tiger alifoka akimtazama Chris mlinzi wa Jack.
“Samahani mkuu naomba unisamehe”
“Mwanangu akifa na wewe ufee uannielewa?”
“Mama”
James akamsogeza mama yake.
“Kakae”
Mrs Tiger akaelekea kukaa kwenye benchi.
“Ilikuwaje?”
James alimuuza Chris.
“Muuaji alijichanganya katika kundi la madakatri na waandishi wa habari. Tulijaribu kumtafuta ina onekana baada ya kufanya tukio akawahi kuondoka akijua amesha imaliza kazi”
“Bahati mbaya kamera za hospitalini nyingi ni mbovu hivyo nimeshindwa kupata picha halisi za eneo ambalo mulikuwepo”
“Yule jamaa aliye lipua kiwanda?”
“Sija mpata pia.”
“Ina onyesha alifanya makusudi akijua ni lazima mwana fmailia au wana familia wata kwenda pale na kutekeleza mpango wake”
“Ina wezekana Chris”
Gafla wakaona madaktari wanne wakikimbia kwa haraka na kuingia katika chumba alicho ingizwa Jack jambo lililo mfanya kila mtu kujawa na mshangao kwani kasi yao na wingi wao ni ishara tosha kwamba kinacho endelea ndani ya chumba cha matibabu si kitu kizuri.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Hali ya Jack imebadilika galfa na kuwa mbaya na kutisha je madaktari wata fanikiwa kuyaokoa maisha ya Jack au ndio alicho kifanya Mrs Tiger kwa Dany kina kwenda kumrudia mwanaye? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 50.
Bado hatujaona sehemu nyingine aliyohusika mpaka sasa.Yule dogo aliehack mfumo wa jumba la tiger hadi wakavamiwa mwanzo bdae James akamtetea asiuwawe ameishia wapi?