Indigo28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 232
- 502
- Thread starter
- #201
DEVIL’S FAMILY(FAMILIA YA MASHETANI) 41
KILA KILICHO ANDIKWA KATIKA HADITHI HII NI UTUNZI HAKIENDANI NA KISA CHOCHOTE KILICHO WAHI KUTOKEA MAHALA POPOTE ASANTE
*************************************************************************************
ILIPOISHIA
“Poa mwanangu baadae”
“Ngoja mama. Hivi umefanya haya maamuzi ukiwa sawa na utimamu kabisa kabisa au?”
“Ndio mbona hamuniamini jamani”
“Haya”
“Lazima wakwe zangu wajifunze biashara. Hamujaoa wanawake kuja kuwa wamama wa nyumbani, kuwapikia na kuwzalia. Lazima wajue kufanya biashara, wata warithisha watoto wenu. Kama baba yenu alivyo niwezesha mimi na toka mukiwa wadogo mulikuwa muna nishuhudia nikitoka kwa ajili ya kufanya biashara zote za familia. Hivyo warembo wangu hawa ni lazima wachakarike tu”
“Sawa mama nimekuelewa”
“Haya baadae”
Mrs Tiger akamrudishia Valentina simu yake.
‘Mrs Tiger umefanya kosa kubwa kuniweka kwenye kampuni yako. Kama una tarajia mimi niwe chanzo cha kukuongezea utajiri basi sahau kwani nita chukua hata hizo asilimia hamsini zako na hii kampuni itakuwa ni yangu kaa suburie huto amini mama’
Rose alizungumza kimoyo moyo huku uso wake ukiwa umetawaliwa na tabasamu lililo jaa furaha ambayo sio rahisi kwa mtu kuweza kuelewa kilichomo ndani ya moyo wake.
ENDELEA
“Tuondokeni jamani”
Mrs Tiger alizungumza na akaondoka na wakwe zake pamoja na walinzi wao, wakaingia kwenye magari na kuondoka.
“Mama mkwe lini tuna anza kazi?”
Valentina aliuliza kwa shahuku akimtazama Mrs Tiger.
“Hata kesho muna weza kuanza vipenzi vyangu”
“Mimi mama nita omba nipumzike niweze kuisoma vizuri biashara kwani nikiwa kama kiongozi siwezi kwenda kuongoza kitu nisicho kijua”
“Sawa hakuna tatizo Rose chukua muda wako jifunze.”
“Nashukuru mama”
“Mimi nita anza kesho kwa maana nimechoka kukaa nyumbani bila ya kazi”
“Hakuna tatizo ni wewe tu”
Wakafika katika kiwanda kikubwa cha utengenezaji wa vipodozi vya kampuni ya Mrs Tiger. Wakaanza ziara ya kutembezwa na meneja wa kiwanda na kuonyeshwa kuanzia jinsi vipodozi vinavyo andaliwa hadi kutengenezwa na kukamilika.
“Kemikali zinazo tumika ni salama kwa afya ya watumiaji?”
Rose alimuuliza meneja wakitazama mchanganyiko wa mafuta ya kujipaka wanawake.
“Hapan hakuna mdhara boss kila kitu kina pimwa na kina wekwa kwa viwango visivyo na madhara”
Macho ya Mrs Tiger yote yapo kwa mmoja wa wafanyakazi anaye boksi za vipodozi vilivyo kuwa tayari.
“Endeleeni nina kuja”
Mrs Tiger alizungumza na akatoka eneo walipo na akaondoka na mlinzi wake mmoja.
“Kuna makampuni kadhaa ya utengenezaji wa peda zina lalamikiwa kuleta madhara ya saratani za shingo za uzazi za wanawake.Vipi hapa hamjapata malalamiko hayo?”
Rose aliendelea kuuliza maswali ya msingi.
“Kwa kweli bado hatujapata hizo changamoto. Ped zetu zina ubora wa hali ya kuu. Ubora ambao una tambulika kimataifa ndio maana zimekuwa zina weza kupenya katika masoko ya kimataifa na kufanya vizuri. Laiti kama tungekumbana na hizo changamoto sidhana kama hivi sasa tungekua hapa”
“Sawa”
Mrs Tiger akamfwata Dany aliye simama akimsubiria.
“Wewe una fanya nini hapa?”
Mrs Tiger aliuliza kwa mshangao.
“Nina fanya kazi hapa madam”
“Hapa kiwandani?”
“Ndio”
“Una muda gani?”
“Nina miezi nane”
“Nane?”
“Ndio”
“Tuzungumze”
Wakaingia kwenye moja ya ofisi isiyo na mtu na mlinzi wa Mrs Tiger akabaki nje ya ofisi.
“Mbona hukuwahi kuniambia kama una fanya kazi kiwandani?”
“Naomba unisamehe ila nilihisi kuwa nikikueleza kuhusiana nah ii kazi yangu labda una weza kuniacha”
Mrs Tiger akashusha pumzi taratibu.
“Sawa nita kupigia tukutane. Toka ile siku tulipo achana nimekuwa nina pitai changamoto kadhaa hivyo sikuweza kabisa kuwasilan ana wewe”
“Ohooo sawa. Wewe una fanya nini hapa kiwandani?”
“Kiwanda ni changu”
“Chako?”
“Ndio mimi ndio mmiliki wa hichi kiwanda?”
“Duuu mimi basi nina jua ni kiwanda cha muhindi?”
“Huyo muhindi nime muajiri ila kiwanda ni changu mimi”
“Waooo hongera sana mpenzi wangu umejitahidi sana.”
“Mambo madogo haya. Vipi mbo** yangu umesha mpa mwanamke mwengine”
“Toka ile siku sijawahi kutamani mwanamke mwengine kama ni kuitunza nimeitunza kwa ajili yako”
Mrs Tiger akazing’ata lips zake kimahaba.
“Una uhakika?”
“Naapia kwa jina la MUNGU wangu…..Sija mpatia yoyote utamu wako”
“Kama ni kweli nita jua tu”
“Niamini”
Mrs Tiger akafungua pochi yake na kutoa kibunda cha shilingi milioni moja na akampatia Dany kiasi hicho cha pesa.
“Acha kazi leo sitaki kukuona hapa kiwandani”
“Ila nita ishije mimi sijazoea kubweteka tu mpenzi”
“Pesa niliyo kupa mara ya mwisho umeifanyia nini?”
“Kuna kaujezi nina mjengea mama yangu. Hivyo niliweka pesa yote huko”
Mrs Tiger akamtazama Dany machoni na akagundua anacho kizungumza ni cha uhakika.
“Sawa kesho asubuhi tangulia kule tulipo kutana”
“Kesho asubuhi?”
“Ndio”
“Sawa mpenzi”
Dany akataka kumsogelea Mrs Tiger ili ambusu ila akamzuia.
“Kesho. Sitaki mashetani yangu yaamke hapa”
“Wale ulio ongozana nao ni kina nani?”
“Wakwe zangu. Wote wameolewa na wanangu”
“Ohooo sawa”
“Toka kesho asubuhi”
“Yaa saa ngapi?”
“Hata kama saa kumi mbili una weza kufika pale, wewe fika”
“Sawa mpenzi. Nashukuru kwa hiii pesa”
“Usijali nenda”
Dany akawa wa kwanza kutoka ndani ya ofisi. Kisha Mrs Tiger naye akatoka ofisini hapo.
“Samahani mkuu”
“Ulinza?”
“Huyu kijana ni nani?”
“Hupaswi kumjua”
Mrs Tiger akarudi katika ofisi aliyo waacha wakwe zake. Akawakuta wakiendelea kuzungumza na wataaalamu wa utengenezaji wa vipodozi. Rose ambaye ana onekana kuw ana maswali mengi akaendele akuuliza maswali ya kuhitaji kufujau mambo mengi hadi akaridhishwa na kile alicho taka kukifahamu.
‘Ana akili huyu binti sio kama huu Valentina kazi yake ni kucheka cheka tu. Muda wote akili yake inawaza kusagana tu’
Mrs Tiger alizungumza kimoyo moyo kwani toka amerudi ofisini hapo Valentina hajauliza swali lolote kila kincho ongelewa kwake ana ona ni sawa tu. Wakamaliza ziara yao kiwandani na wakaondoka kuianza safari ya kurudi nyumbani.
***
“Umemuacha wapi demu wako?”
James alimuuliza Jack.
“Hotelini. Nimetoka kwenda kuicheki moja ya nyumba hivi nataka kuinunua”
“Nyumba”
“Ndio. Icheki”
James akaichukua simu ya Jack na kuanza kuitazama nyumba ambayo Jack ana taka kuinunua.
“Ni jumba zuri. Lina kwenda kwa kiasi gani?”
“Wametaka dola milioni moja na laki tano”
“Parefu”
“Ndio ila pazuri sana bro”
“Usiniambie unataka kumunulia Vaileth”
“Ndio nataka kumnunulia yeye”
“Dogo vita unayo taka kuitegeneza ni kubwa umeifikiria ni wapi itamalizikia?”
Jack akashusha pumzi taratibu. Wakasitisha mazungumzo yao wakimtazama Sophia anaye kuja aneo walipo.
“Kaka zangu”
“Dada vipi?”
“Poa. Wakezenu bado hawjaarudi tu?”
“Bado. Vipi umepita kumcheki dingi?”
“Ndio nimetoka hapo. Daktari ana sema bado hali yake ni bila bila”
“Sijui kama ata toboa”
Jack alizungumza na wezake wakamtazama kwa mshangao.
“Ndio dingi ana saratani wote tuna jua saratani yake ina kwenda kumuondoa. Kaparalaizi una hisi hapo kuna kutoboa. Mimi kwa upande wangu nimesha jiandaa kuishi bila ya yeye”
“Mimi nilisha jiandaa kuishi bila wao kitambo sana”
Sophia alizungumza.
“Bro un aonaje tukawaambia madaktari wamchome sindano ya sumu ili afe”
“Kweli kaka. Dingi ana teseka tu”
“Kumuua baba ni kipengelea aisee”
“Sio tuna muua bro. Tuna mpumzisha. Sisi ndio wanaye tuna paswa kuamua alalae mazima au aendelee kuteseka na ma oxygen.”
“Tumpe miezi miwili”
“Kwa yote aliyo kufanyia bado una muonea huruma. Bro kweli wewe roho yako ya kizungu”
“Muna jua baba sio mtu hatari kwenye hii familia. Mtu hatari kwetu ni mama yetu muna shindwa kuiona hii picha na kueendelea kuwa hai kwa baba kuna sababisha mchakato wa utapeli wa mama kungojea ngojea”
“Mmmmm”
Sophia aliguna.
“Japo baba amekuambia wewe ndio mrithi wa mali hizi ila amekuambia kwa maneno ila bado hajatia sahihi kukurithisha mali zote na endapo leo mzee ana anguka na kufa mama ana kuwa msimamozi mkuu wa mali za mzee ambapo wewe utakuwa chini yake”
“Umeyajuaje hayo kaka?”
“Jana nilikuwa nimedukua barua pepe ya mzee. Nikakutana na hii email iliyo tumwa miaka kumi na tano kwenda kwa wana sheria wakuu”
James akawaonyesha wadogo zake barua pepe hiyo.
“Nimejaribu kufwatilia ili nitambue kama kuna madiliko yoyote ambayo baba aliyafanya juu ya msiamamo wake huu hakuna so ile wewe ndio mrithi wa maliz za familia ni mali kauli”
“Mama na jua hii?”
Jack aliuliza.
“Sidhani kwa manaa endapo kama mama angesha jua. Sasa hivi kungekuwa na msiba hapa nyumbani.”
James alizungumza na kumfanya Jack kushusha pumzi taratibu.
“Ata kuwa amejua nini kwa mana akama kaaamua kuwapa wake zenu asilimi ishirini na tano za umiliki wake wa kiwanda, usikute ndio ana watoa kwenye mali za ukoo bila ya nyinyi kujua”
Sophia alizungumza.
“Kwa maana imekuwa ni gafla tu kwa yeye kuwapa hizo mali”
James na Jack wakatafakari.
“Unajua hili jambo lina fikirisha kweli. Mke wanguana asilimi aishirini na tano mkeo bro ana asilimi ishirini na tano. Hii ina ogopesha kwa kweli”
“Kuna jambo moja mimi nina liwaza”
“Jambo gani?”
“Ni kama ana taka kumtumia Rose katka kukuza biashara zake”
“Wifi Rose?”
“Ndio sote tuna jua kuwa Rose kwa sasa ndio mmiliki wa makampuni yao ndani ya miezi kipindi kifupi amefanikiwa kusafisha uchafu mwingi katika katika kampuni zao na hivi sasa zina zidi kukua. Naona mama kashaaona Rose ana kwenda kumtengenezea kampini yake na kuvuka viwango vya juu. Hilo ndio ninalo liona kwa haraka haraka”
“Acha tuone ila tuwe makini bro”
“Ndio maana yake.”
James akatoa simu yake mfukoni iliyo ingia ujumbe wa meseji.
“Nakuja”
“Kwema?”
“Ndio kuna notification ya mambo yangu ya kazi imeingia ngoja nikaishuhulikie”
James akaondoka eneo waliko kaa na kuelekea chumbani kwake.
“Dogo chaguo lililo baki ni kumuombea dingi apate walau nafuu urithi hizi mali”
“Ngoja wewe hutaki urithi wa hizi mali?”
“Nimeridhika na maisha yangu. Bishara zangu pia zina nitunza mimi na mwanangu. Kwani toka nilipo zaa na baba wa mwanangu una jua fika kuwa baba na mama ni kama walinitelekeza”
“Naelewa”
“Yaah hivyo nimeridhika”
Jack akampatia Sophia picha.
“Vipi huyo nyumba una ionaje?”
Sophia akatazama picha kumi za nyumba.
“Ni nzuri. Umejenga?”
“Nataka kuinunua”
“Una enda kuishi huko na mkeo au?”
“Hapana”
“Sasa ya nini?”
“Nataka kumunulia Vaileth”
“Vaileth gani?”
“Shemeji yangu”
“Shemeji yako una mnunulia jumba hilo la kifahari kwa nini?”
“Kwa sababu nina mpenda”
“Nini?”
“Ndio nina mpenda Vaileth na una jua hilo”
“Ila Jack una wezaje kumpenda mtu na mdogo wake huoni kama una weza kumchanganya Valentina mtoto wa watu”
“Valentina nikamchanganya?”
“Ndio”
“Mimi na yeye nani ana mchanganya mwenzake”
“Una maanisha nini kusema hivyo?”
Jack akatabasamu.
“Sister najua kinacho endelea kati yako wewe na mke wangu.”
Sophia akatokwa na macho ya mshangao huku mwili ukianza kumtetemeka.
“Najua kuwa Valentina ni demu wako kabla hata sija muoa. Najua munacho kifanya na huwa muna hisi kama sijui kuwa ninyi muna sagana.”
Sophia woga ukazidi kumjaa kwani akili ya mdogo wake Jack ana ifahamu vizuri ni mtu mwenye maamuzi magumu sana na mara kadhaa amemshuhudia Jack akiua watu walio mkosea kitendo kinacho mfanya amuogope sana mdog wake.
ITAENDELEA
Mchaka mchaka mpya umeanza. Jack ameamua kumueleza ukweli dada yake, ukweli unao muogopesha sana Sophia je ni kitu gani ambacho kitatokea kati ya dada mtu na mdogo mtu? Ungana nami katika stori hii ya kusisimua sehemu ya 42.