Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Mkuu mi nakuonea huruma sana, kwa sababu dhamira yako ni nzuri ila sasa wabongo ndo tatizo. Mi nakushauri hivi, kwanza kabisa tengeneza developer forum na kama ipo, weka categories utakazoona zinafaa kwa wabongo na kisha arika developers waliochangia hapa kwenye hii thread wakupe ushauri kuhusu hiyo forum yaani nini kiwepo na nini kinapaswa kisiwepo, baada ya kumaliza hiyo kazi yaani ikiwa imekamilika, utakuja kutuambia ili sisi tukusaidie kuitangaza kwenye magroup ya whatsapp, fb nk. Baada ya hapo tutafanya tathimini ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa tuone kama juhudi zimezaa matunda, pia tukiendelea kuiboresha zaidi. Kuanzisha group fb sioni mantiki yoyote maana huko kuna magroup kibao yanayofanania na ulichoanzisha, sasa kwa sababu watu wana experience ya ubovu wa hayo magroup wanaona ni yale yale tu ndo maana unaona hakuna mwamko huko.Ni kwel ila niliwaambaia ambao wako interested wanichek fb tuanze mchako wa kushare ideas lakin wamerespond wawil mm nifanyeje hapo mkuu em we sema.
Pia huko fb kuna limitations nyingi sana, mfano kama mtu ana project yake anataka kuileta ili watu waiendeleze inamuwia vigumu kuupload mafile fb mfano rar files, zip files nk. Kitu kingine watu wanakosa category zao za professionalism kwa sababu fb hakuna mpangilio maalumu wa kupost content za aina moja, mfano kama kuna post 2000 halafu kuna mtu anatafuta project ya C++ halafu ipo index ya 1899 ni vigumu sana kuipata, ila kama ni forum ni rahisi kwa sababu anaenda kwenye category au subcategory na kuipata moja kwa moja