Solution ya kwanza ni watu kubadilika mindset zao, halafu matatizo mengine ni madogo sanaKwaiyo solution ni nn?
Share some on github and invite people to contribute!Acha wajaribu wanaweza fanikiwa, me mwenyewe nilikuwa nahitaji kitu sema njaa ndo inanikwamisha, na nimeshafanya project zangu nyingi sema marketing Ndo imekuwa kikwazo kikuu, but kama ni group of inawezakana
I did and no one came.Share some on github and invite people to contribute!
mimi niliuliza kama tunao jifunza tunaruhusiwa naona wameuchuna kabisa!Ungana kwanza na watu wasiokua developers lakini wana idea za nguvu, halafu hapo wafuate developers. Mara nyingi sisi developers huwa hatuna ideas nzuri, lakini ukikutana na great thinkers huko nje wasiokua developers wanaibuka na idea ambayo mkiungana vizuri mnafaulu pamoja.
Ndio mikakati ambayo nimeitumia sana kwetu Kenya.
Mkuu hizo ict hub bongo zipo. Mfano ni Kilihub, sijui kinu. Nenda pale Kijitonyama Ally Hassan Mwinyi road ofisi za Sayansi kuna hiyo incubator.Kenya wana kutu inaitwa technology incubators ihub na pivot, sisi watanzania tunaweza pia.
Let's be organized.
The best way ya kushare hizo ideas ni kwenye forums...hayo mambo ya groups ni Blah blah I have been into several groups ila none of them are productive,there are not set rules ku govern hicho kitu mwisho wa siku group litabaki la kuulizana maswali kama...Ukitaka kuficha whatsapp last seen unafanya je?Kama kuna software inayo support whatsapp tofauti na bluestack. Ningeneze group tujaribu kushare ideas kama MK254 alivyokuoa maelezo. Mm binafsi nimemuanga mkono, maana alichokizungumza ni kwel kabisa.

The best way ya kushare hizo ideas ni kwenye forums...hayo mambo ya groups ni Blah blah I have been into several groups ila none of them are productive,there are not set rules ku govern hicho kitu mwisho wa siku group litabaki la kuulizana maswali kama...Ukitaka kuficha whatsapp last seen unafanya je?
Hivi RAM ni nn?![]()
kitu kidogo kinachukua mda, mbona tusiifanyie hapa hapa jf?