Deutch Welle-Swahili: Njaa Sengerema yasababisha familia kuhamia kwa mwenyekiti wa kijiji

Ikiwa magufuli na nape hawatachukua hatua juu ya Dutch Wells,aidha kwa uchochezi au kununuliwa na wafanyabiashara,bac nitaelewa kuwa wanaochukuliwa hatua kwa uchochezi wanaonewa kwakua ni wapinzani.vinginevyo akubali yy,muhongo,warioba ni waongo wa kitaifa !
DW inunuliwe!!!!
 
Back
Top Bottom