Walikuwa wanakula hela za wapiga dili. Kwani serikali haikujua tunaishi kwa kutegemeana? Makosa yalikuwa pale alipoamua kununua ndege badala ya kuwawezesha wananchi wavijijini.Kijiji cha Isome sengerema wanaisoma sasa, sijui hicho kijiji nao walikuwa wapiga dili au nikauli za kukomoana!
Wababa mumefanya vema kukimbia familia zenu, maana mungesema wangesema hamtaki kufanyakazi, na uzuri hao wakezenu ndo waliomchagua m/kiti huyo na selikali hii ambayo aitambui njaa na ukosefu wa pesa.
Kosa jingine kukazana na pool table za mijini, unasahau vilabu vya pombe za vijijini. Eti hamna pombe saa za kazi, huko bila pombe shambani hamna kinachoendelea.