Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Kwa Kutumia Simu yangu na Earphone mda huu naskiliza DW huku nikiingiza transaction za biashara katika mfumo wa Komputa.
Nawasihi msikilize hii redio habari zake ziko tofauti sana na Redio Uhuru ambayo hutangaza kwa kuogopa.
Pia Vituo vingine vimeshaingia woga baada ya Kupigwa Mkwara.
Reucherau
Nchini Tanzania, wakati viongozi wa serikali,wanasiasa na vyombo vya habari wakitafautiana juu ya uwepo ama kutokuwepo kwa tatizo la njaa katika baadhi ya maeneo nchini humo,wilayani Sengerema baadhi ya akina mama na watoto wamelazimika kuhamia nyumbani kwa mwenyekiti wa kijiji baada ya kukimbiwa na waume zao kutokana na ukosefu wa chakula wilayani humo.