Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Huyu Mbowe anaweza "kummaliza" muda wowote, ana siri kubwa sana kuhusu kifo cha Chacha.

Hivi ule mpango wake na Diallo uliishia wapi? Na atueleze ile laptop ya Wangwe ilifikaje kwa Makamba Sr?
 
Ushauri Wa bure kwako Zitto Zubeir Kabwe, usimpokee DEUS MALLYA ni pandikizi linalokuja kwa kazi moja tu ya kukufinito!. Watch out comrade!
 
Huyo hajatangaza mwenyewe, wamemlisha maneno ili kuwaprovoke wana JF, ili wamseme, achukie aseme mbovu kuhusu Wangwe
 
Khaaah! hata huyo aliekuwa akimponda Zitto kajiunga ACT?
Kumbe Zitto alikuwa na nguvu ana aliungwa mkono na wengi ndani ya chama ndio maana Mbowe akahifia kupiteza kiti.

Naamini chadema watabaki aki na Mzee Mtei.
 
Deus Mallya kuhamia ACT kuna mawili ametumika Chadema hawajatimiza waliyomwahidi baada ya kazi nzito (R.I.P Chacha Wangwe) au alipewa mission akipokuwa chadema haijaimaliza sasa ameamua kumfuata mtu wake huko akamalize deal alilopewa.
 
anakaribishwa sana but uku n kuwajibika hatuna maneno ya mbwembwe oooh mara kamanda apana uku harakat tu maneno pemben vitendo daima. team wazalendo
 
Kwanza deus ni kijana muhuni njaa ndiyo inamsumbua hilo liko wazi ana kaofisi kake pale ilala njaa tupu hilo liko wazi kwanza hana mchango wowote Chadema zaidi ya kupata umaarufu kupitia kifo cha chacha wangwe

kaanza kuwa mhuni baada ya kujiunga Act au wakati ule alipopanga mission ya kumuua Wangwe?
 
Ushauri Wa bure kwako Zitto Zubeir Kabwe, usimpokee DEUS MALLYA ni pandikizi linalokuja kwa kazi moja tu ya kukufinito!. Watch out comrade!

ACT hakuna siri yote yapo waz hatuna hofu nae anakarbishwa. iki chama sio cha ZZK, atamsalit nan kat hakuna mwenyenacho ichi cha umma ndg sio saccos ya mtu
 
Zzk anazidi kuumbuka,alisema act hajaanzisha yeye lakini jana amekiri wazi kwamba amekianzisha,"chacha died,i won't" zzk anajua jinsi alivyomtumia huyu dogo malya na sasa malya anamfata boss wake act.

unasema bila hata aibu huku nafsi yako ikiwa inakusuta..Mzalendo Zitto amuue Wangwe kwa kipi wakati iko wazi kabisa Dj Mbowe na Slaa ndio waliopanga misheni kali mno ya kumuondoa kwa Dunia Mzalendo Wangwe alietaka kuondoa utawala wa wachaga pale Cdm
 
Who is this Deus Malya again? ni yule aliyehusika na kifo cha Wangwe? My God. Tanzania tumekwisha. Nilikuwa naangalia interview ya Zito kwenye mtandao. i feel sorry for him kwa sababu ninaona mapambano yake or nguvu yake ni kupambana na movement ya mageuzi. siyo siri this was not the time ku distract movement hiyo. kushupaa na hadi kuwapokea wauaji kama huyu ni kuthibitisha yaliyokuwa yanasemwa. but angalizo. siku zimebaki chache.
 
Back
Top Bottom