Sasa sisi inatuhusu nn...ukitaka kichaa asikusumbue mfukuze na makopo yake...xo makopo yake nenden tu ili kichaa wenu asitusumbue..
ACT inavuna wanachama kutoka CDM tu.
Sijasikia wafuasi wa vyama vingine wakihamia ACT.
Mbowe choo imembana ,ile siri aliyokua anatunza itakuaje sasa?
Duu sasa hakika chadema inakufa kila leo...
acha tabia za kike wewe unaejiita mwanaume wakati mtaani hamna kitu changia mada acha dharau wewe,una mahaba mazito na Act basi na wewe karibu maana umeona donge sana,uko mp nini una hasira sana
Haivuni mwanachama yeyote wa chadema, ni mapandikizi yaliyokuwa na zitto kule chadema yameshindwa kukamilisha mission yao sasa yanarudi kule yalikoandaliwa maana huku yalitupwa kule!!!!
Wametumwa na ccm wahakikishe cdm na ukawa wanasambaritika ila wameshindwa
Dhambi hiyo ilimtesa sana YUDA. Sijui kama alirudi kwa YESU kuomba toba.Ukiona hivyo jua YUDA kafanya kazi yake ya kumuuza yesu.
Hahhahahahahaha...sasa unatoa tahadhari au...
Hahahahaha@aaaaaaaa. DONT BLOW HIS COVER DUDE!!
Hii kali ya mwaka, au wako online??Tayari ameshajiunga , hata usiku ni ruksa ofisi za ACT zina run 24 hours
]Hata Habib Mchange aliitisha vyombo vya habari akasema mauaji yote nchini yamepangwa na Chadema[/COLOR]. Nakumbuka kuwa lile tukio la Mwangosi alisema Chadema waliandaa mpaka mpiga picha ili awe tayari kuchukua kila hatua wakati ambao Chadema wanamshughulikia Mwangosi! Huyu Malya atakuwa anatoa tu remix ambayo original copy haiku-hit kabisa!
ACT inavuna wanachama kutoka CDM tu.
Sijasikia wafuasi wa vyama vingine wakihamia ACT.
objective yao ni kuangusha chadema, sio kuipinga serikali iliyoko madarakani! poor Tanzania