Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Kama tunajua alikuwa tayari ACT kinachotufanya tuchangie hii thread ni nini? Mbona hatujifikilishi!!
 
Kijana Zitto anajitahidi akae nao tena mezani CCM wamuongezee dau
 
Habari wadau wa JF,

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.

"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"

Mwisho wa Kunukuu.
Hivi bado yuko ACT WAZALENDO ?
 
Back
Top Bottom