BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,544
Hamjui kuwa wengi tumejiunga na cdm kwa ushawishi wa zitto?sasa mnataka tuondoke kumfuata Zitto kutoka ccm wakati tulikuwa cdm?Lawama ziende kwa mbowe slaa na lisu mtoa p.o.vu
Anayosema Zitto na yanayofanywa na wafuasi wake ni vitu viwili tofauti.
Zitto siku zote muda utakuwa unakuumbua.Unasema adui yenu si UKAWA ila ni CCM lakini wacha tusubiri kusika huyu jamaa atasema nini.
Wakati unasema nyie kama ACT hamtaki kuangaika na wapinzani ila kauli ya huyu itakuwa kinyume kwani niwazi anapanga kuisema vibaya CHADEMA.
Zitto bora uwe unakaa kimya tu.
Last edited by a moderator: