Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
ACT inavuna wanachama kutoka CDM tu.
Sijasikia wafuasi wa vyama vingine wakihamia ACT.
Mission ya ACT sio kupata wabunge wala madawani wala urais bali kuichachafia chadema
ACT inavuna wanachama kutoka CDM tu.
Sijasikia wafuasi wa vyama vingine wakihamia ACT.
Mbowe choo imembana ,ile siri aliyokua anatunza itakuaje sasa?
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.
kwa hiyo na huko ametumwa na mbowe kummaliza ayatollah zitto kabwe?Inasemekana(tetesi) alitumwa na mbowe kumuua Wangwe
Kwa mwendo huu ACT itachukua dola
haa haa na amekuwa wa kwanza kutoka duh!Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka chadema__@zitto
Mission ya ACT sio kupata wabunge wala madawani wala urais bali kuichachafia chadema
Habari wadau wa JF,
Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.
"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"
Mwisho wa Kunukuu.
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.