Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Siasa sio ndoa ya kanisa,kua ukiwa chama flan bas huruhusiw kujiung na chama kingine,lazima wapate wafuasi kutoka wapi?
 
Anayosema Zitto na yanayofanywa na wafuasi wake ni vitu viwili tofauti.

Zitto siku zote muda utakuwa unakuumbua.Unasema adui yenu si UKAWA ila ni CCM lakini wacha tusubiri kusika huyu jamaa atasema nini.

Wakati unasema nyie kama ACT hamtaki kuangaika na wapinzani ila kauli ya huyu itakuwa kinyume kwani niwazi anapanga kuisema vibaya CHADEMA.

Zitto bora uwe unakaa kimya tu.
 
Last edited by a moderator:
Yaan baada ya Zitto ni huyo kanjanga Millya?

Vipi mpango wake na Diallo umeishia wapi?

Nadhani watu wengi hawafuatilii vizuri habari za Chadema! Huyo Mallya alishajiondoa Chadema,akaanza kutengeneza muvi na Diallo wa CCM ili kuichafua chadema.... Nendeni masalia,tuachieni Chadema yetu.
 
Tushuhudie kifo kibaya kibaya sana mwaka huu kwa chadema si mnasema zzk si lolote mbele ya chama? Kwa kuwamegea tu ivi mnakumbuka ule waraka mliousambaza makanisani kabla na baada ya uchaguzi? Kitaeleweka tu

Mtasubiri sanana hizo ndoto zenu za mchana.
 
Kwanza deus ni kijana muhuni njaa ndiyo inamsumbua hilo liko wazi ana kaofisi kake pale ilala njaa tupu hilo liko wazi kwanza hana mchango wowote Chadema zaidi ya kupata umaarufu kupitia kifo cha chacha wangwe
 
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.

Unaongea kama umebanwa na haja kubwa,una uhakika gani au ukiambiwa ulete ushahidi unao au ni kukurupuka tu kufuata mkumbo,.
 
Umkamate mwizi mwenyewe
Umfungulie mashtaka mwenyewe
Umpeleke mahakamani mwenyewe
Usikilize kesi mwenyewe
Umuhukumu mwenyewe
Utangaze nenda gereza flani utumikie kifungo chako mwenyewe
Na hapo ndio utajua kunguru wa cdma walivyo

Aliesema malya kaamia act ni cdm wenyewe
Aliesema kama kamua wangwe cdm wenyewe
Sjui tuaeke kundi lipi kunguru nyie
 
Zzk anazidi kuumbuka,alisema act hajaanzisha yeye lakini jana amekiri wazi kwamba amekianzisha,"chacha died,i won't" zzk anajua jinsi alivyomtumia huyu dogo malya na sasa malya anamfata boss wake act.
 
Duu sasa hakika chadema inakufa kila leo...

unajua tumevuna wanachama wangapi kupitia mkutano wetu hapa Nyangunge was kumkaribisha M/KT was CDM Magu baada ya kushinda dhuluma ya maccm? cdm sawa na ziwa, haliwezi kukauka kwa kuchota ndoo moja ili hali mito inatirilisha maji daily kuingia ziwani
 
Habari wadau wa JF,

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.

"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"

Mwisho wa Kunukuu.
Muuwaji wa wangwe kajiunga na act... That speaks volume
 
Back
Top Bottom