johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Kwani ni nani kamdanganya kuwa kutakuwa na uchaguzi? Huu utakuwa upikaji wa matokeo. Hakutakuwa na uchaguzi kabisa. Watu mtaendelea na majukumu yenu, Lakini jioni mtakuta matokeo yenye namba nzuri sana za asilimia 90. Hii yote kuonyesha kuwa anaabudiwa kama Mungu.Mwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa.
Source BBC Dira ya Dunia
Una ushahidi kuwa wananchi wengi walisusia kujiandikisha?!Hilo lilikuwa wazi, maana wananchi wengi walisusia kujiandikisha. Wananchi wengi kwa sasa wanauelewa wa kutosha na hawako tayari kuingia kwenye siasa za kishenzi. Wabaki hao wala rushwa wagawane vyeo bila ridhaa ya umma wakati tunaandaa plan B.
Machafuko utaleta wewe?!Halafu yakitokea machafuko watu watadai kuwa "wazungu wameharibu amani yetu ili wachukue madini yetu"
Huu uhuni unaofanywa na wana-ccm gharama zake watazilipa wao wenyewe!
Kwani wewe unaishi dunia gani?Una ushahidi kuwa wananchi wengi walisusia kujiandikisha?!
Una ushahidi kuwa wananchi wengi walisusia kujiandikisha?!
Milioni 19 siyo wengi?Unauliza au unapigia jibu mstari?
Achana na hao nyani.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Unayoishi wewe!Kwani wewe unaishi dunia gani?
Mkakati wa aliye madarakani uchaguzi usifanyike watu wapite bila kupingwa.Huwezi ukakataza mikutano ya kisiasa halafu ukataka watu wakapige kuraMwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa.
Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale waliozuiwa na hii ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Mwisho mwanaharakati huyu anasema uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020 unaweza kuweka historia ya kuhusisha wapiga kura wachache zaidi kuwahi kutokea kwani wapiga kura halisi wamekatishwa tamaa.
Source BBC Dira ya Dunia
Acha kujipaka kinyesiUnayoishi wewe!