TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
kumbuka kuwa, kunena ni rahisi kuliko kutenda. just imagine kwamba, wewe ndo umeishikilia taasisi. could you perform more than him?Sasa kwa mfano kama anayeishika hiyo nafasi hajiheshimu watu watafanyaje? Kama kweli urais ni taasisi inapaswa kuanza na anayeishika hiyo nafasi afanye kazi akitambua kwamba ni taasisi na siyo yeye peke yake ndo mwenye maamuzi. Vinginevyo itakuwa ngumu kwa mtu wa kawaida kuiheshimu hiyo taasisi!
Jibu utakalolipata, jitathmin kwamba, hapo ulipo kwa sasa unamanage kwa kiwango kipi?
mambo haya si rahisi