Naanza kuamini maneno yako!Tulikuwa tunasema Deus Kibamba na Wenzie walikuwa na Chuki binafsi na Jakaya, Leo anasema Rais huwa hapingwi hadharani!
Njaa ya kibamba ndiyo imemfanya aende kujitoa fahamu na kujipendekeza apate cheo apunguze vimeo na kuongeza michepuko.Wanaompinga nao wanachemka
Wengine ni wengine na kama wamebadika kama Lipumba anavyofanya na sasa Kibamba lazima watu wawazodoe sana maana njaa zao zimewafanya wajitoe fahamu na endapo watu wataacha kukemea Unafiki huu Nchi itaongeza wanafiki kwa kasi kubwa .Jamani msimshambulie Kibamba ni kawaida tu mtu kubadilika kimtazamo kama alivyobadilika Kibamba na kama wengi walivyobadilika kuhusu misimamo yao kisiasa
Tell him and pogba they can go to hell!!Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Kibamba ashaanza kuisoma namba, naona anataka kujipendekeza. Amepingwa, Obama na sasa Trump anapingwa anasema eti Rais harakiwi kukosolewa!!! Duh njaa mbaya.Ok....kweli kabisa maana prezdah ni saint
Ova
Sahihi kabisa wapinzani wa tanzania wanamchukulia rais kama adui yoa...namba 1.....wanachojua ni kupinga kwa kutumia maneno ya kejeli....hawaoni jinsi rais anavyopambana na ufisadi...wakati hiyo ilikuwa ni moja ya ajenda yao kuu....miezi kadhaa iliyopita...yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Hana msimamo kwa sasa njaa ndiyo njia yake kubwa atapata msimamo pindi mkulu akimpatia Ubalozi au ubunge wa kuteuliwa.Deus ni msomi mzuri lakini ata simuelewi misimamo yake
kanuni ile ile ukujiheshimu utaheshimiwa,kinyume cha hapo ni kutafutiana visa tu vya kuwafunga walalahoiTaasisi inatakiwa iheshimiwe...mbona yenyewe haieshimu watu
hivi ndo deus yuleyule wa jukwaa la katiba?,Hana msimamo kwa sasa njaa ndiyo njia yake kubwa atapata msimamo pindi mkulu akimpatia Ubalozi au ubunge wa kuteuliwa.
Huu uwongo kabisa Mod 1 futeni huu uzushi Kibamba nimeongea naye muda huu anasema amelishwa maneno hajaongea maneno kama hayoMhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Hana tofauti na propesa mzoa taka.Deus ni msomi mzuri lakini ata simuelewi misimamo yake
Wewe ni bendera.yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Aliiiunga na act huyo. Ni member wa zito, hakuna shavu hapo mkuuhuyu ni muhadhiri ???nimeangalia may be dr au prof may atateuliwa na mkuu kumbe ni........ok jipendekeze zaid mhadhiri wetu may be atakuona
Hakika Huyo ni wa kumwombea. Kumbe comment yangu inahitaji genius kama wewe kuielewa. Hongera MkuuUnamtukania nini??Hivi JPM.hakusema anatakakuwa Rais wa Malaika yaani.in short awe sawa na Mungu??Ulimtukana baada ya JPM kusema hivyo??Acha kutukana binadamu mwenzako na kumfananisha na Mbwa.Toa hoja na si vihoja vya matusi