kukosolewa wazi ni kukosewa heshima?yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
Duh Mkuu umenitukana bure ndg yangu.... Rudia usome tena comment yangu kwa ukaribu......Mbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyie
Ukatoliki angekuwa mwislam rais anapingwa ilikuleta maendeleoTulikuwa tunasema Deus Kibamba na Wenzie walikuwa na Chuki binafsi na Jakaya, Leo anasema Rais huwa hapingwi hadharani!
Unamtukania nini??Hivi JPM.hakusema anatakakuwa Rais wa Malaika yaani.in short awe sawa na Mungu??Ulimtukana baada ya JPM kusema hivyo??Acha kutukana binadamu mwenzako na kumfananisha na Mbwa.Toa hoja na si vihoja vya matusiMbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyie
anatafuta kupendwa, kumbe naye ni bure. analeta uaflme katika karne ya 21, hovyooooooooooooooooooooooooKibamba nae ni wale wale
Kibamba must be hopeless! Kumbe hakuna wa kumwamini Tanzania. Wakati wa Kikwete alikuwa vocal leo anasema mavi matupu!Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Marekani mbali Sana, hapo Kenya tu Wapinzani wanabishana na Uhuru jukwaani kwenye kadamnasiKule Marekani pamoja na Donald Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani lakini maelfu ya Wamarekani wanafanya maandamano kumpinga Rais Trump. Kitu kizuri kabisa ni kwamba Polisi wanawapa ulinzi hao waandamanaji kuonesha hisia zao.
Eti Kibamba anasema hapa kwetu huruhusiwi hata kusema Rais hadharani kama una mtazamo hasi. Halafu huyu Kibamba eti ni mwanasheria.
Jamani kweli hizi nafasi za kuteuliwa zinatutoa UFAHAMU. Na hizi nafasi ndiyo shetani mkubwa kwa wasomi wetu. As far as nafasi hizi zitaendelea kuwa mikononi mwa mtu mmoja. Wasomi wa Tanzania wataendelea kufikiri kwa kutumia MATUMBO yao badala ya kufikiri kwa kutumia VICHWA vyao. Poor Tanzanians!
Sio kila kitu tunaiga Wa-Marekani, mbona hamtaki kuiga na U-shoga??..anachomaanisha Bwana Kibamba ni kwamba kuna jinsi na taratibu za kuikosoa taasisi ya Uraisi..ndio maana amesema, kabla ya kuamua kuongea inafaa kufikiri kwa makini, utaratibu utakaoutumia kufikisha ujumbe wako. Na endapo busara itatumika, huo ujumbe utafika vizuri zaidi, na utafanyiwa kazi.Daa jamaa yng sijui unatumia makalio kufikiri??? Kwa mambo yanayofanyika marekani na kiti kile cha uraisi wa marekani nadhan mungekwisha wauwa watu wote ktk mitaa ya maandamano!!!! Kwa akilini zenu zilivyo nyeusi kama ngozi zenu.,hakika mungejiita MUNGU nyie ....