Deus Kibamba ni nani?


JK akiandika kitabu cha siku za Ikulu...na Mkapa pia tutajua mengi
 

Labda neno 'interesting' limekuchanganya
nikisema interesting sio lazima nikubaliane ni kweli
interesting inaweza pia kumaanisha 'this is new to me'
 
Huyu anaishi vipi?
source ya kipato chake ni nini?
isije kuwa CCM ndo wanamlipa kwenye hizi 'harakati' zake
Watu wa aina hii wasikushangaze sana kwani Tanzania wapo wengi wengi sana. Mfumo wetu wa utawala na ulimbukeni wa wa wananchi ndio unawafanya wa-survive. Tena wana maisha mazuri mara mia ya mtu anayechapa kazi. Umeshamsikia mtu anayeitwa LeMutuz? Unajua anafanya kazi gani? Kina Pasco wana kazi gani? List ni ndefu mno na na wengi wamejipachika kwenye siasa. Kwa kifupi mfumo wetu wa maisha hauko fair. Unatoa nafasi kubwa kwa watu wajanja janja kuvuna kwa urahisi na wachapakazi kusota sana huku wakiambulia kidogo.
 
Sijakuwelewa mkuu, unamaanisha taasisi Na mashirika mengi yaliyopo nchini yapo kwa mpango maalumu.?

Sasa why kimya now?
media zinafungwa wao kimya
Mikutano inapigwa marufuku wao kiimya

Huoni walikuwa na lengo fulani tu na sasa limetimia?
jiulize katiba mpya tumefikia wapi?
mbona wako kimya?
 
Hata vyombo vya habari vya hapa Tanzania wewe uliona vinazungumzia uchaguzi wa Zanzibar ule wa Marudio, zaidi ya kuonesha na kuandika jinsi "Mshindi" alivyoapishwa? Yalaah nimejikwaa kidole!!
Ccm visiwani yajizolea ushindi wa kishindo
 
Tanzania watu wengi wanaonyesha msimamo ni kwa ajili ya tumbo! Nikikumbuka zitto sina humu na hawa wanaojiita wapigania haki!
 
Tanzania watu wengi wanaonyesha msimamo ni kwa ajili ya tumbo! Nikikumbuka zitto sina humu na hawa wanaojiita wapigania haki!

Tanzania yetu hata asasi za kiraia ni usanii mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…