Detecting someone's Location

Detecting someone's Location

Smiller

Senior Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
181
Reaction score
41
Wakuu Salam kwenu

Kwa anae fahamu! msaada tafadhali nataka kujua jinsi ya kujua Location ya mtu ambae nina number yake bila ridhaa yake

Kwa kifupi tu nikuwa nahisi Demu wangu yupo MCHEPUKONI kisiri !!

Kwa ufupi
Nawakilisha.
 
Muone yule mrithi wa mnajimu pale Magomeni Mapipa!
 
...siyo rahisi Sana, Ina gharama Sana maana inabd uende kwenye kampuni zinazofanya tracking, ambapo huko napo, inabd wapate ridhaa ya muhusika.
au ujaribu kununua online software za spying, ILA sina uhakika Nazo sana
 
Punguza wivu ndugu yangu unakuwa na wivu kama jogoo.
 
...ila kwa kutumia simu Tu hivi kawaida, haitaweza maana haipo preinstalled na vitu vya kusoma gps
 
Mkuu ni rahisi sana. Unatumia simu gani na huyo mchepuko wako anatumia simi gani. Kama ni smart phone ni rahisi sana. Download app inaitwa true caller position. ukisha download ingiza namba yake halafu bonyeza kitufe. hakikisha google map inafanya kazi ili kumpata mgoni wako kiulaiiini. baada ya kubonyeza kitufe utaona mpaka bati la gest na kamshale kataonyesha exact position ya chumba.
 
Nipe namba yake nikuchekie kwenye system hapa.
 
Mkuu ni rahisi sana. Unatumia simu gani na huyo mchepuko wako anatumia simi gani. Kama ni smart phone ni rahisi sana. Download app inaitwa true caller position. ukisha download ingiza namba yake halafu bonyeza kitufe. hakikisha google map inafanya kazi ili kumpata mgoni wako kiulaiiini. baada ya kubonyeza kitufe utaona mpaka bati la gest na kamshale kataonyesha exact position ya chumba.

Ngoja nijaribu mkuu
 
Natumia iPhone yeye anatumia Samsung S4
 
Mkuu ni rahisi sana. Unatumia simu gani na huyo mchepuko wako anatumia simi gani. Kama ni smart phone ni rahisi sana. Download app inaitwa true caller position. ukisha download ingiza namba yake halafu bonyeza kitufe. hakikisha google map inafanya kazi ili kumpata mgoni wako kiulaiiini. baada ya kubonyeza kitufe utaona mpaka bati la gest na kamshale kataonyesha exact position ya chumba.

Mkuu Hii huduma ina operate baadhi ya nchi tu si kila sehemu
 
Na mie naitaka hiii app

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom