Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
Kila la heri.
Vitu kama vipi binafsi huwa najizuia sana kutoa msaada japo ninaujuzi navyp maana madhara yale ni makubwa kuliko hata mwema wangu.
Ugeniambia labda unataka kuilinda simu yako hata kama itakapo ibwa ujue mwizi wako yuko wapi na anatumia namba ipi hapa ningejitoa kwa moyo mkunjufu, lakini kwa hili na mke/mpenzi najiona kabisa kama nashiriki kufunja penzi.