Design simple za Nyumba vyumba 2

Mkuu naweza kupata ramani(two-story house) ya vyumba vinne kikiwemo na master but hiyo master iwe floor ya juu.Chini iwe na vyumba vitatu juu chumba kimoja tu ambacho ni master

Ndio, tupatie contact zako.
 
Mkuu naweza kupata ramani(two-story house) ya vyumba vinne kikiwemo na master but hiyo master iwe floor ya juu.Chini iwe na vyumba vitatu juu chumba kimoja tu ambacho ni master

Ungeacha mawasiliano hapo
 
Ni vema, kujenga japo ujenzi ni gharama, hivo fanya maandalizi mapema kwa awamu
 
Mkuu naweza kupata ramani(two-story house) ya vyumba vinne kikiwemo na master but hiyo master iwe floor ya juu.Chini iwe na vyumba vitatu juu chumba kimoja tu ambacho ni master

Yes, utavipata vyote
 
Yes, vyote vinapatikana
 
By Preta

Uuuwiii......asante kwa kunijuza bei......sasa nikienda bank nawaambia mimi ni nani.......ili wanikopeshe hela......?.........

Unawaambia wewe ni Dr. Preta, mwanachama maarufu wa JF na bilionea wa Yaeda chini

acheni kutania yaeda chini
 
MKUU PAMOJA NA KWAMBA UMETOA CONTACT NAOMBA KUJUA UNAPATIKANA WAPI NA WAPI?Je mnafanya kazi nchi nzima I mean mna offices kila mkoa nchini au mpo kwenye mikoa yenye maendeleo tu?
 
MKUU PAMOJA NA KWAMBA UMETOA CONTACT NAOMBA KUJUA UNAPATIKANA WAPI NA WAPI?Je mnafanya kazi nchi nzima I mean mna offices kila mkoa nchini au mpo kwenye mikoa yenye maendeleo tu?

Ni rahisi sana piga simu
 
Huo ujenzi wa ki-BoQ mkuu mmhh!!! nilidhani muulizaji yuko kibongobongo zaidi. Tukienda kwa utaratibu huo tunaweza kutishana tusithubutu kuanza.

Uko sahihi
 
Nyumba ni nzuri sana ukiweza kupata Fundi Wa kuweza kujenga km inavyoonekana. Siyo mtu anajenga jumba kubwa anamaliza kiwanja chote bila kuacha hata sehemu ya kupumzikia nje.

Landscape design, ni muhimu sana
 
Mkuu nahitaji ramani ya vyumba 3 kama sample kwanza na gharama kwa ujumla hata kwa makadirio tu.

Ndio, unazipata tu.je plot ni high, medium or low density!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…