Dereva yebo anasana na mke wa mtu Songea

UONGO MWINGINE BWANA.....Wacha uongo wewe iweje wewe peke yako uwe na habarfi hata waandishi wa magazeti au wanahabari wa TV wasielezwe tukio hili na polisi au iweje usitutupie japo picha inayoonyesha wamebewa wakiingizwa kwenye gari...UZUSHI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe.

Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la bombambili na wasamaria wema waliamua kutoa taarifa polisi baada ya kusikia sauti ya watu wakilia toka chumba walichokuwepo. na polisi walipofika waliwabeba kama walivyo na kuwapeleka hospitari.

Jitihada za kuwamamanua wahanga zilishindikana kutokana na sehemu za siri za kila mhanga zilikuwa zikivimba kila muda , na polisi waliamua kumpigia simu mume wa mke aliyenaswa afike hospitari haraka kwani mke wake wamenasana na jamaa.

Jamaa alipowasili aliongea maneno machache tu " mke wangu nilikuambia wewe malaya ulikuwa unakataa , nilikuambiaje" mke alijibu ,mume wangu alinipa kisu halafu aliniambia nikatie nyama katikakati na halafu nimkabidhi kisu, nilipomkabidhi kile kisu akakiingiza kwenye ala na kusema habari yako imekwisha"

Mume alimwomba afande aende kwake afuate kisu hicho na aliporudi tena eneo la tukio akachomoa kisu kwenye ala wale wahanga wakanasuliwa.

cha ajabu sasa watu wengi walionekana kumsonga kijana ili awape dawa hiyo.

Hizo dawa za kunasana zimeenea sana mji wa songea zikitokea kwa mzee mmoja wa msumbiji aliyeingia hivi karibuni.

Lakini zinasaidia kwani watu hivi sasa wanaogopa kuchepuka na wake za watu au waume za watu.

Kazi kwelikweli.
 
Itakuwa maarufu baadaye itapatikana feki, na ni balaa jamaa anayekupa feki awe anamjua mkeo mbona atakuwa anaendesha bila wewe kuwa na hofu yoyote
 
UONGO MWINGINE BWANA.....Wacha uongo wewe iweje wewe peke yako uwe na habarfi hata waandishi wa magazeti au wanahabari wa TV wasielezwe tukio hili na polisi au iweje usitutupie japo picha inayoonyesha wamebewa wakiingizwa kwenye gari...UZUSHI

Nitukio la kweli,mm nipo songea!
 
Hiyo dawa inaitwa kipimo,
Namjuwa mzee mmoja hapo kimara korogwe anayo,
kama vipi nijie pembeni.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe.

Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la bombambili na wasamaria wema waliamua kutoa taarifa polisi baada ya kusikia sauti ya watu wakilia toka chumba walichokuwepo. na polisi walipofika waliwabeba kama walivyo na kuwapeleka hospitari.

Jitihada za kuwamamanua wahanga zilishindikana kutokana na sehemu za siri za kila mhanga zilikuwa zikivimba kila muda , na polisi waliamua kumpigia simu mume wa mke aliyenaswa afike hospitari haraka kwani mke wake wamenasana na jamaa.

Jamaa alipowasili aliongea maneno machache tu " mke wangu nilikuambia wewe malaya ulikuwa unakataa , nilikuambiaje" mke alijibu ,mume wangu alinipa kisu halafu aliniambia nikatie nyama katikakati na halafu nimkabidhi kisu, nilipomkabidhi kile kisu akakiingiza kwenye ala na kusema habari yako imekwisha"

Mume alimwomba afande aende kwake afuate kisu hicho na aliporudi tena eneo la tukio akachomoa kisu kwenye ala wale wahanga wakanasuliwa.

cha ajabu sasa watu wengi walionekana kumsonga kijana ili awape dawa hiyo.

Hizo dawa za kunasana zimeenea sana mji wa songea zikitokea kwa mzee mmoja wa msumbiji aliyeingia hivi karibuni.

Lakini zinasaidia kwani watu hivi sasa wanaogopa kuchepuka na wake za watu au waume za watu.

Kazi kwelikweli.

safi sanaaa i need one like that,,,,ndio daawa ya michepuko
 
hadithi njoo uongo njoo utamu kolea, . . . . . . enhe, . . . . . . . . . .enhe!!!! . . . . . . . . . . .

yaani dunia hii ya utandawazi hata kapicha ka nokia tochi hakakupatikana, lile gazeti lililobobea kwenye udaku nalo halikutonywa!

haya sawa na maajabu ya chura kujipaka poda.
 
Km sio Promo hii story sijui?
basi tutaisikia kwenye vyombo vya habari
maana kuna jamaa yangu yuipo hapo Halmashauri anakataa kabisa habari hii.
Songea na hasa Bomba2 ni vituko
Kuna bwana mmoja aliambiwa mke wake yupo na mtu mwingine gest fulani chumba no. 7. Akakodi Taxi mpaka hapo gest akampa deleva wa Taxi hela yake na ya ziada na picha ili akamletee mkewe kwa namna yoyote. Baada ya deleva kuingia humo Gest akatoka na mwanamke akiwa anamvuta nywele mpaka kwenye gari. Yule bwana akasema huyu mbona siyo? Deleva akamwambia huyu ni mke wangu nishikie nikamfate mkeo.
 
Hapana,mim nipo Songea nikweli hill tukio limetokea

afadhari umewathibitishia wewe kwamba ni kweli tukio hilo limetokea, humu ndani kuna akina thomaso wasioamini mambo
 
Back
Top Bottom