Dereva yebo anasana na mke wa mtu Songea

Dereva yebo anasana na mke wa mtu Songea

Hiyo dawa haina hata maana ukimtega mkeo na kwa bahati mbaya ukapata ajali ukafanya sasa mke umemfunga hataolewa wala kufanya mapenzi! Acheni kabisa mungu hapendi km mke si mwaminifu mpe talaka au achana nae
 
Mimi ndio niliekamatwa na mke wa jamaa hapa Songea.Kwakweli nimelipa laki 7 ili mambo yaishe.Nilipiga bao moja katika kutoa nikawa nasikia kama jogoo anajazwa upepo ila wake za watu ni watamu kama ASALI.
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani jamani.alafu ni kumzalilisha mpenzi wako
 
Hahahha watu wanaona ni uongo but kitu kama hicho kipo,though sijawai shuhudia but niliambiwaga na mtu mmoja ivi aliniadisia kuusu kitu kama hicho kisu kinatumika kumshika mtu ugoni hahahah ukichepuka tu umekwisha
Naitaka hii dawa jamani namba za simu pls.
 
Nyie tafuteni dawa ya kunasana.. Mimi nina dawa ya KUNASUA.. anayeitaka anipm

michepuko oiyeeeeeeee
 

Kwa hiyo hii inategeshwa kwa wake wa ndoa tu au hata magelofurendi?

Halafu sekeseke la tukio lote hili limekosa hata picha?

Cc @OFM.
 

story bila picha hainogi
tupiamo tupicha tuone vilivyovimba basiiii!!
 
uyo mzee mganga arudishwe msumbij haraka sana watu tushazoea kula wake za watu
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe.

Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la bombambili na wasamaria wema waliamua kutoa taarifa polisi baada ya kusikia sauti ya watu wakilia toka chumba walichokuwepo. na polisi walipofika waliwabeba kama walivyo na kuwapeleka hospitari.

Jitihada za kuwamamanua wahanga zilishindikana kutokana na sehemu za siri za kila mhanga zilikuwa zikivimba kila muda , na polisi waliamua kumpigia simu mume wa mke aliyenaswa afike hospitari haraka kwani mke wake wamenasana na jamaa.

Jamaa alipowasili aliongea maneno machache tu " mke wangu nilikuambia wewe malaya ulikuwa unakataa , nilikuambiaje" mke alijibu ,mume wangu alinipa kisu halafu aliniambia nikatie nyama katikakati na halafu nimkabidhi kisu, nilipomkabidhi kile kisu akakiingiza kwenye ala na kusema habari yako imekwisha"

Mume alimwomba afande aende kwake afuate kisu hicho na aliporudi tena eneo la tukio akachomoa kisu kwenye ala wale wahanga wakanasuliwa.

cha ajabu sasa watu wengi walionekana kumsonga kijana ili awape dawa hiyo.

Hizo dawa za kunasana zimeenea sana mji wa songea zikitokea kwa mzee mmoja wa msumbiji aliyeingia hivi karibuni.

Lakini zinasaidia kwani watu hivi sasa wanaogopa kuchepuka na wake za watu au waume za watu.

Kazi kwelikweli.

picha please
 
Back
Top Bottom