G
guest-1790917349
Guest
Nilikuwa nina appointment na mke wa mtu leo, baada ya kusoma habari hii natamka wazi kuahirisha zoezi
Hahahaa
Nilikuwa nina appointment na mke wa mtu leo, baada ya kusoma habari hii natamka wazi kuahirisha zoezi
Mkuu unahisi unagongewa au ulishagongewa?Hii hata mimi naitaka
Katika hali isiyokuwa ya kawaida dreva yebo anayeishi kitongoji cha mjimwema amenasana na mke wa mtu anayeishi maeneo ya matarawe.
Walikutwa wamenasana katika guest moja iliyopo eneo la bombambili na wasamaria wema waliamua kutoa taarifa polisi baada ya kusikia sauti ya watu wakilia toka chumba walichokuwepo. na polisi walipofika waliwabeba kama walivyo na kuwapeleka hospitari.
Jitihada za kuwamamanua wahanga zilishindikana kutokana na sehemu za siri za kila mhanga zilikuwa zikivimba kila muda , na polisi waliamua kumpigia simu mume wa mke aliyenaswa afike hospitari haraka kwani mke wake wamenasana na jamaa.
Jamaa alipowasili aliongea maneno machache tu " mke wangu nilikuambia wewe malaya ulikuwa unakataa , nilikuambiaje" mke alijibu ,mume wangu alinipa kisu halafu aliniambia nikatie nyama katikakati na halafu nimkabidhi kisu, nilipomkabidhi kile kisu akakiingiza kwenye ala na kusema habari yako imekwisha"
Mume alimwomba afande aende kwake afuate kisu hicho na aliporudi tena eneo la tukio akachomoa kisu kwenye ala wale wahanga wakanasuliwa.
cha ajabu sasa watu wengi walionekana kumsonga kijana ili awape dawa hiyo.
Hizo dawa za kunasana zimeenea sana mji wa songea zikitokea kwa mzee mmoja wa msumbiji aliyeingia hivi karibuni.
Lakini zinasaidia kwani watu hivi sasa wanaogopa kuchepuka na wake za watu au waume za watu.
Kazi kwelikweli.